Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200829_185234.jpg
 
bumbuli anatwambia sound check ya harmo kashuka na chopa alafu tukisema hawa utopolo mnakuja juu kama moto wa kifuu
 
Eti wanasema kaiga. 😂😂😂

Wakati yule alishuka nayo kuwasapuraiz 5imba mana hawajuagi helikoputa. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom