Ukilinganisha na timu gani??Mimi ni Yanga damu lakini kwa kikosi nilichokiona leo niseme tu timu yetu bado ni ya kawaida sana
Achana nae huyo Mnyero fcUkilinganisha na timu gani??
Hao mliocheza nao wana tofaut gani na JKT?Ukilinganisha na timu gani??
Tatizo lenu la ufumaniaj navu bado litakuwepo tu
Mkuu VITAL O na hao jamaa hao wako juu ya VITAL O kwahiyo YANGA AMECHEZA NA TIMU BORA KULIKO ILIYOCHEZA NA SIMBA.Hao mliocheza nao wana tofaut gani na JKT?
Tunaaminije ww ni Yanga? Alaf huo ni mtazamo wako tu.Mimi ni Yanga damu lakini kwa kikosi nilichokiona leo niseme tu timu yetu bado ni ya kawaida sana
Tatizo ni mbinafsi anataka kufunga yy tuHuu usajiri kutoka mbao hakuna mchezaji hapa
Mlitoa nao draw 0-0Hao mliocheza nao wana tofaut gani na JKT?
Mkuu VITAL O na hao jamaa hao wako juu ya VITAL O kwahiyo YANGA AMECHEZA NA TIMU BORA KULIKO ILIYOCHEZA NA SIMBA.
Haya tumekusikia braza, msalimie manara..Tuache utani wakuu hii timu yetu Yanga inahitaji misimu 4 mpaka 5 kuja kuchukua ubingwa lakini kwa sasa bado sana, tuendelee tu kujenga timu yetu.
Daima mbele nyuma mwiko
Kwa Harmonise hapo umefeli, kaharibu show nzima. Kwanza kafanya vitu viwili ambavyo vinamkosesha marks,Mimi simba ila ukweli tuseme tu jana show ya yanga ilikua funga kazi, creativity na umakini wa hali ya juu na vibe la kutosha. Simba tulifanya kimazoea, na manara kuwa mc ni ujinga maana focus yake ni kuwakera yanga na sio kusherehesha!hongereni sana yanga na big up kubwa kwa harmonize kwa ubunifu na uthubutu wa hali ya juu, wasanii lazima nao waumize vichwa kuwa wabunifu kama yeye.Show ilikua balaa, spund effect is everything ktk matamasha, jana hadi chafya akipiga mtumbuizaji unaisikia! Simba ilikua mazoea! Tuliweka spika za kwenye vigodoro, diamond alitumia nguvu ya ziada kuamsha watu!Ingawa simba ndio waanzilishi wa haya matamasha ya vilabu ila yanga mmeonyesha jinsi gani yanatakiwa kufanywa, mmetuonyesha sisi simba tulikua tunafanya ndivyo sivyo.Ni wajibu wetu simba kujibu mapigo tamasha lijalo kwa kushirikisha watu maalum maeneo hayo kuanzia ma Mc wawe wale wa kusherehesha sio kukera!
Ndugu unasumbuka na huyu mwarabu Wa Nguruka!?Tunaaminije ww ni Yanga? Alaf huo ni mtazamo wako tu.
Mzuri sana yule ni muda tu utaongea.Tatizo ni mbinafsi anataka kufunga yy tu
Mkuu kuchanganyikiwa kwako ndio kumefika kiwango hiki!? Pole sana mliyodhani hayatawezekana sasa yanawezekana. Hata Harmonize mlojua atakufa kimziki ndio huyooo anazidi kuvutia watu na kuwaacha waloamini ni wakubwa kwake. FUNDISHO LIMEWARUDIA!!Tuache utani wakuu hii timu yetu Yanga inahitaji misimu 4 mpaka 5 kuja kuchukua ubingwa lakini kwa sasa bado sana, tuendelee tu kujenga timu yetu.
Daima mbele nyuma mwiko
Two 9 TK-MASTER " TUISILA KISINDA"Mimi ni Yanga damu lakini kwa kikosi nilichokiona leo niseme tu timu yetu bado ni ya kawaida sana