Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mimi simba ila ukweli tuseme tu jana show ya yanga ilikua funga kazi, creativity na umakini wa hali ya juu na vibe la kutosha. Simba tulifanya kimazoea, na manara kuwa mc ni ujinga maana focus yake ni kuwakera yanga na sio kusherehesha!​
hongereni sana yanga na big up kubwa kwa harmonize kwa ubunifu na uthubutu wa hali ya juu, wasanii lazima nao waumize vichwa kuwa wabunifu kama yeye.​
Show ilikua balaa, spund effect is everything ktk matamasha, jana hadi chafya akipiga mtumbuizaji unaisikia! Simba ilikua mazoea! Tuliweka spika za kwenye vigodoro, diamond alitumia nguvu ya ziada kuamsha watu!​
Ingawa simba ndio waanzilishi wa haya matamasha ya vilabu ila yanga mmeonyesha jinsi gani yanatakiwa kufanywa, mmetuonyesha sisi simba tulikua tunafanya ndivyo sivyo.​
Ni wajibu wetu simba kujibu mapigo tamasha lijalo kwa kushirikisha watu maalum maeneo hayo kuanzia ma Mc wawe wale wa kusherehesha sio kukera!​
 
Tuache utani wakuu hii timu yetu Yanga inahitaji misimu 4 mpaka 5 kuja kuchukua ubingwa lakini kwa sasa bado sana, tuendelee tu kujenga timu yetu.

Daima mbele nyuma mwiko
 
Kwa Harmonise hapo umefeli, kaharibu show nzima. Kwanza kafanya vitu viwili ambavyo vinamkosesha marks,
Moja, yeye msanii mambo ya wanajeshi wapi hadi kuingia na kamba ka unaruka vikwazo vitani.
Pili, sawa kaingia na kamba kuonesha yeye mwanajeshi. Sifa ya mwanajeshi urusiwi kudodosha bendera, hapo alishafeli maana alishaiuza Yanga yeye kaendelea na safari,
Tatu, Zaidi sana ni pale pumzi ilipokua imekata hadi akashindwa kuendelea, hapo alivyosaidiwa akashindwa hata kushuka akajikuta anaangukia mgongo. Sijui mgongo umepona.
Mwisho, Uwezo kufanya mazoezi ya kuingia na chopa afu siku ya tukio ukaingia na kamba lazima ufeli, mazoezi ya gyms sio sawa na mazoezi ya kijeshi, mtakuja kuwaua watoto wa watu.
Nb. Mwenzio mwenye mziki wake angalia alivyokua amepangilia show siku ya Simba day, kaingia na chopa kapiga show kaondoka na chopa. Hormonize ulitakiwa ulivyoingia ndo utoke ili utuoneshe ujeshi wako.
 
Tuache utani wakuu hii timu yetu Yanga inahitaji misimu 4 mpaka 5 kuja kuchukua ubingwa lakini kwa sasa bado sana, tuendelee tu kujenga timu yetu.

Daima mbele nyuma mwiko
Mkuu kuchanganyikiwa kwako ndio kumefika kiwango hiki!? Pole sana mliyodhani hayatawezekana sasa yanawezekana. Hata Harmonize mlojua atakufa kimziki ndio huyooo anazidi kuvutia watu na kuwaacha waloamini ni wakubwa kwake. FUNDISHO LIMEWARUDIA!!
 
Back
Top Bottom