mshilakule
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 280
- 227
Msema kweli ni mpenzi wa MunguMimi simba ila ukweli tuseme tu jana show ya yanga ilikua funga kazi, creativity na umakini wa hali ya juu na vibe la kutosha. Simba tulifanya kimazoea, na manara kuwa mc ni ujinga maana focus yake ni kuwakera yanga na sio kusherehesha!hongereni sana yanga na big up kubwa kwa harmonize kwa ubunifu na uthubutu wa hali ya juu, wasanii lazima nao waumize vichwa kuwa wabunifu kama yeye.Show ilikua balaa, spund effect is everything ktk matamasha, jana hadi chafya akipiga mtumbuizaji unaisikia! Simba ilikua mazoea! Tuliweka spika za kwenye vigodoro, diamond alitumia nguvu ya ziada kuamsha watu!Ingawa simba ndio waanzilishi wa haya matamasha ya vilabu ila yanga mmeonyesha jinsi gani yanatakiwa kufanywa, mmetuonyesha sisi simba tulikua tunafanya ndivyo sivyo.Ni wajibu wetu simba kujibu mapigo tamasha lijalo kwa kushirikisha watu maalum maeneo hayo kuanzia ma Mc wawe wale wa kusherehesha sio kukera!
Wamepishana Point 4...Mkuu VITAL O na hao jamaa hao wako juu ya VITAL O kwahiyo YANGA AMECHEZA NA TIMU BORA KULIKO ILIYOCHEZA NA SIMBA.
Bora hata meneja Mtani..Hahahaaa!! Kwani Mtani kwa maoni yako tungempanga wapi ndo pangefaa?
wakati huo tuko Mbele point 18 ...Mlitoa nao draw 0-0
Na JKT waliwahemea kisogoni 1-0.
Umeona Utofaut hapo?? suit inatakiwa valiwa kama Ndemla au Manula alivyo hapoAnatokea mbumbu fc mmoja anakosoa uvaaji wa yanga unajiuliza huyu anafikilia kwa kutumia nnView attachment 1553839
Hao walicopy na kupaste uvaaji wa gwajima wakati yanga walivaa na kujitanabaisha wao ni wana michezoUmeona Utofaut hapo?? suit inatakiwa valiwa kama Ndemla au Manula alivyo hapoView attachment 1553857
Acheni ushamba watoto wa mikia hahahahahaha "suit & sneakers" ipo. USHAMBA MWINGINE MBAYA SANA, POLENI MSIKARIRI MAISHA.Umeona Utofaut hapo?? suit inatakiwa valiwa kama Ndemla au Manula alivyo hapoView attachment 1553857
Ndio upeo wake wakufikiriAnatokea mbumbu fc mmoja anakosoa uvaaji wa yanga unajiuliza huyu anafikilia kwa kutumia nnView attachment 1553839
Sasa mkuu timu yenyewe msemaji haji manara hao wanaomsikiliza unategemea watakuaje?Ndio upeo wake wakufikiriView attachment 1554632
Sasa mkuu timu yenyewe msemaji haji manara hao wanaomsikiliza unategemea watakuaje?