Kabisaa na kikubwa wachezaji wazidi kujituma zaidi.Gsm kaamua mwaka huu lazima vikwapa vinyanyuliwe iwe jua au mvua
Acha kabisa Mkuu.Kama kule kwa walioendelea asee
Nadhani jumapili ya juzi ilishakupa picha halisi sasa eeeMtani sipatii Picha utakavyokua Ligi ikianza, mkiaanza kufanya utopolo wenu maana sio kwa matumaini mlionayo
Hiii.Wameshaanza kubebana wenyewe kwa wenyewe,wameona hakuna dalili ya kubeba kombe[emoji23]
Na tulijua kuujaza bana.
Haruna Hakizimana Fabregas Niyonzima
Baba Mzazi eee baba Mzazi. ππHaruna Hakizimana Fabregas Niyonzima