Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Inasemekana wana umri sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1557829

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani ni kweli Mungu yupo!!!
 
Kwa nini Mungalu afanye mazoezi na walioenda kuoa? Au na yeye alienda kuoa!? Kipi kimemsibu asiungane na wenzake huko Mbeya?
Naye pia alirudi Congo baada ya Simba Day. By the way, hata kama alienda naye kuoa, si jambo la kushangaza kwa mtu mwenye akili timamu (kama ipo lakini)
 
Naye pia alirudi Congo baada ya Simba Day. By the way, hata kama alienda naye kuoa, si jambo la kushangaza kwa mtu mwenye akili timamu (kama ipo lakini)
Huyu Mungalu kawapa siku na msipompa pesa zake ataendelea kufanya mazoezi Bunju peke yake
 
Umeonaeee. Na hapo pona pona yako ni huko kuvua hizo vitu la sivyo wangekubeba juu juu aisee.

Ila imani za kishirikina pia huwa ndio sababu ya yote hayo yaani unakuta kabisa watu roho zinawageuka wakidhania yule mtu kupita pale ndo washafungwa. πŸ˜€
 

Kwa majibu haya ya hasira Naamini terminator atakuwa kamgonga mtu makofi kweli!
Hawa jamaa hawafai kabisa. Wafunguage kituo cha kufundishia ngumi kabisa πŸ˜€mana wako vizuri hizo pande.
Your browser is not able to display this video.
 
Gang Chomba huwezi fanya editing kwenye majina yakawa na capitals? Au wasimamizi wa JF saidieni thead hii ikae vizuri please.....
Hakika Shem nadhani mleta uzi akipata chance angebadili sababu inawezekana kwake na ndio rahisi pia kuliko kwa hao wasimamizi.

cc Gang Chomba
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ mugalu komaa hapo hapo hao ng'ombe washazoea kudanganya watu kuwa wao ni club tajiri kumbe hakuna kitu.
Nakazia. 🀣🀣🀣 akomae hapo hapo kwani watafanya sirii wee mwishowe itakuwa dhahiri. 🀣🀣🀣
 
Kwa nini Mungalu afanye mazoezi na walioenda kuoa? Au na yeye alienda kuoa!? Kipi kimemsibu asiungane na wenzake huko Mbeya?
Kwa hili swali huezi pata jibu la mana hapa sababu haiingii akilini hata kidogo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…