Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Inasemekana wana umri sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1557829

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani ni kweli Mungu yupo!!!
 
Kwa nini Mungalu afanye mazoezi na walioenda kuoa? Au na yeye alienda kuoa!? Kipi kimemsibu asiungane na wenzake huko Mbeya?
Naye pia alirudi Congo baada ya Simba Day. By the way, hata kama alienda naye kuoa, si jambo la kushangaza kwa mtu mwenye akili timamu (kama ipo lakini)
 
Naye pia alirudi Congo baada ya Simba Day. By the way, hata kama alienda naye kuoa, si jambo la kushangaza kwa mtu mwenye akili timamu (kama ipo lakini)
Huyu Mungalu kawapa siku na msipompa pesa zake ataendelea kufanya mazoezi Bunju peke yake
 
Hhhhh
FB_IMG_15991126721108469.jpg
 
Mimi imewahi kunikuta hii, first time naingia taifa mechi ya simba na yanga,, japo nilikua nimewahi kuingia mara 2 nyuma kwenye mechi za kawaida, sijui ilikuaje nikajichanganya nikaingilia kule kwa simba tena nikiwa na jezi na skafu, na kipindi hicho yanga ya babu ni ya moto sana (tulishinda ile mechi 2-0) simba wenyewe walijua kabisa kua wanafungwa.

Ile nimetokea tu upande wao aiseh wakanifukuza nashukuru Mungu mbio ziliniokoa, nilikimbia huku navua jezi na skafu nikabaki na singrendi tu ya ndani hivo hata niliokua nakutana nao mbele hawakutilia maanani kama wale walionitoa baruti huko nyuma.

Isingekua Mungu na mbio I'm sure ningeyachezea makofi ya kutosha siku ile.
Umeonaeee. Na hapo pona pona yako ni huko kuvua hizo vitu la sivyo wangekubeba juu juu aisee.

Ila imani za kishirikina pia huwa ndio sababu ya yote hayo yaani unakuta kabisa watu roho zinawageuka wakidhania yule mtu kupita pale ndo washafungwa. 😀
 


Kwa majibu haya ya hasira Naamini terminator atakuwa kamgonga mtu makofi kweli!

Hawa jamaa hawafai kabisa. Wafunguage kituo cha kufundishia ngumi kabisa 😀mana wako vizuri hizo pande.
 
Gang Chomba huwezi fanya editing kwenye majina yakawa na capitals? Au wasimamizi wa JF saidieni thead hii ikae vizuri please.....
Hakika Shem nadhani mleta uzi akipata chance angebadili sababu inawezekana kwake na ndio rahisi pia kuliko kwa hao wasimamizi.

cc Gang Chomba
 
😂 😂 😂 😂 mugalu komaa hapo hapo hao ng'ombe washazoea kudanganya watu kuwa wao ni club tajiri kumbe hakuna kitu.
Nakazia. 🤣🤣🤣 akomae hapo hapo kwani watafanya sirii wee mwishowe itakuwa dhahiri. 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom