Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wakuu jezi vipi kesho ligi inaanza tutavaa nini pale kwa Mkapa? Mbona tunatia aibu hivi wananchi wenzangu.

Daima mbele nyuma mwiko
Shadeeya
Hiviii Mtani wapi wameandika kwamba msimu mpya lazima ukianza watu wawe na jezi mpya 🤔 hebu punguza pupa na wewe.

Hamna hata ambaye anatiwa aibu hapa. 😀

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Hiviii Mtani wapi wameandika kwamba msimu mpya lazima ukianza watu wawe na jezi mpya 🤔 hebu punguza pupa na wewe.

Hamna hata ambaye anatiwa aibu hapa. 😀

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Siamini kama ni wewe ndio umeandika haya maneno, 😀😀 Daaah.
 
[emoji23][emoji23] tatizo watu wenu wa propaganda wanafeli sana, Magulu yuko hapa mjini, ..wawa , chris na Luis wote wako hapa hawakwenda Mbeya, ni Kwasababu walichelewa jiunga na timu, mtakutana nae kwenye ligi na atawadonoa
Una uhakika na unachosema ama umemeza kale kapicha kalikowekwa juzi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…