Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Dogo lugha inamzingua sana kiasi kama anakosa hadi raha hivi,ila Mdogo Mdogo atajua tu kiingereza kidogo na ndipo moto utawaka!
Hakika!! Afadhali angekuwa anaongea kifaransa walau angepata wenzake. Ila kwa kireno hana budi kujifunza kingereza.
 
Masikini kishingo akee[emoji23][emoji23]
Yanga kuna mambo mengine mnatumia kujifariji kuzima machungu ya kushindwa uwanjani! Hayo mambo ya nje ya uwanja hata kama kweli yapo, hayabadili rekodi za matokeo ya ligi nchini, kama ile ya 5-0, 6-0, 4-1 nk
 
KUELEKEA KUCHUKUA POINTS ZETU TATU HAPO KESHO. 😎 MAZOEZI YAMEENDELEA KAMA KAWA.
20200905_192533.jpg
 
Back
Top Bottom