Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hiviii Mtani wapi wameandika kwamba msimu mpya lazima ukianza watu wawe na jezi mpya 🤔 hebu punguza pupa na wewe.Wakuu jezi vipi kesho ligi inaanza tutavaa nini pale kwa Mkapa? Mbona tunatia aibu hivi wananchi wenzangu.
Daima mbele nyuma mwiko
Shadeeya
Hamna hata ambaye anatiwa aibu hapa. 😀
#DaimaMbeleNyumaMwiko.