Hii ni Yanga au Utopolo haya mambo ya kijinga haya bwanaa.
Tunataka jezi.
Huyo hapo, walibak na kocha wa viungo kwaajili ya kupatq fitness, wote watatu wako hapoMsisahau wanasemaga kwamba kila mficha maradhi kifo umuumbua hivyo shauri yenu Mtani.
5imba huyo Mkuu asikutishe.We huna nguo mpaka unalalamikia jezi kiasi hiki?
Au ndo mnalalamika jezi jezi alafu zikitoka hamnunui?
Sawa. Ila dunia ilishakosaga siri hii Mtani.Huyo hapo, walibak na kocha wa viungo kwaajili ya kupatq fitness, wote watatu wako hapo
Nikukumbushe tu , wakati anaondoka Wawa na Luis hawakuwepo nchini manake hamchelew sema ilipigwa zamaniView attachment 1559155
Zile suti za kimataifa lazima muziote tu Mtani. 😂😂Wakuu basi kesho tuvae hata Suti tu jezi siyo muhimu kwa sasa au mnaonaje?
Daima mbele nyuma mwiko
Kitengo chenu cha propaganda kinafeli, yamebaki masaa machache, .. huko site vipi? hawajapata idea yeyote?Sawa. Ila dunia ilishakosaga siri hii Mtani.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ewaaaa!! Sio watu wazuri nyie hamkawii kutoa makonde. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sis Shadeeya keshakwambia na kuuliza sijui kama ulijibu au ulijibu kiufasaha, ni Nani alokwambia kila msimu lazima kuwe na jezi mpya!? After all jezi hazichezi mpira!Mkuu tuache masihara hii aibu ni kubwa sana siku moja imebaki Msimu mpya uanze jezi hakuna hahahahaa.
[emoji23][emoji23]hata hivyo huyo ni mkia ndugu yangu asikuchoshe!We huna nguo mpaka unalalamikia jezi kiasi hiki?
Au ndo mnalalamika jezi jezi alafu zikitoka hamnunui?
Una uhakika hivi sasa yupo Dar es salaam?Huyo hapo, walibak na kocha wa viungo kwaajili ya kupatq fitness, wote watatu wako hapo
Nikukumbushe tu , wakati anaondoka Wawa na Luis hawakuwepo nchini manake hamchelew sema ilipigwa zamaniView attachment 1559155
Dogo lugha inamzingua sana kiasi kama anakosa hadi raha hivi,ila Mdogo Mdogo atajua tu kiingereza kidogo na ndipo moto utawaka!