Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hii ni Yanga au Utopolo haya mambo ya kijinga haya bwanaa.

Tunataka jezi.
IMG-20191204-WA0001.jpg
 
Msisahau wanasemaga kwamba kila mficha maradhi kifo umuumbua hivyo shauri yenu Mtani.
Huyo hapo, walibak na kocha wa viungo kwaajili ya kupatq fitness, wote watatu wako hapo

Nikukumbushe tu , wakati anaondoka Wawa na Luis hawakuwepo nchini manake hamchelew sema ilipigwa zamani
Screenshot_20200905-103321.jpg
 
Wakuu basi kesho tuvae hata Suti tu jezi siyo muhimu kwa sasa au mnaonaje?

Daima mbele nyuma mwiko
 
Sawa. Ila dunia ilishakosaga siri hii Mtani.
Kitengo chenu cha propaganda kinafeli, yamebaki masaa machache, .. huko site vipi? hawajapata idea yeyote?

kwahiyo ww hata bunju hupajui ? au Luis ni lini alikutana na Mugalu ? manake wakati anasajiliwa hadi anaondoka hayupo, Luis anarud, ameenda Arusha karudi Mugalu nae ndio kaja, ndio hapo wamekutana kwa mara ya kwanza, Siku Wawa kaja ni siku hiyo hiyo Luis alitua , siku ambayo mlienda pokea mchezaji hewa airport
 
Back
Top Bottom