Hakika!! Afadhali angekuwa anaongea kifaransa walau angepata wenzake. Ila kwa kireno hana budi kujifunza kingereza.Dogo lugha inamzingua sana kiasi kama anakosa hadi raha hivi,ila Mdogo Mdogo atajua tu kiingereza kidogo na ndipo moto utawaka!
Nakazia bro! Jezi hazijawahi cheza mpira. ππSis Shadeeya keshakwambia na kuuliza sijui kama ulijibu au ulijibu kiufasaha, ni Nani alokwambia kila msimu lazima kuwe na jezi mpya!? After all jezi hazichezi mpira!
Hapa tunaombea muunganiko tu upatikane Mtani
Yeah hilo ndilo la muhimu, ila mechi ya juzi kikosi kilichoanza kimeonesha uhaiHapa tunaombea muunganiko tu upatikane Mtani
Tatizo la maombi ni kwamba yanaweza yasikubalikeHapa tunaombea muunganiko tu upatikane Mtani
Pia waambie waangalie nyuzi za Coastal Union, hapo ndiyo watajua, kimya kingi hakikosi "Mshindo".Nakazia bro! Jezi hazijawahi cheza mpira. ππ
Masikini kishingo akee[emoji23][emoji23]
Ha ha haMasikini kishingo akee[emoji23][emoji23]
Yanga kuna mambo mengine mnatumia kujifariji kuzima machungu ya kushindwa uwanjani! Hayo mambo ya nje ya uwanja hata kama kweli yapo, hayabadili rekodi za matokeo ya ligi nchini, kama ile ya 5-0, 6-0, 4-1 nkMasikini kishingo akee[emoji23][emoji23]
Hakika Mtani na naamini utakuwa muendelezo.Yeah hilo ndilo la muhimu, ila mechi ya juzi kikosi kilichoanza kimeonesha uhai
Sent using Jamii Forums mobile app
Dooh!! Kwani tumekosea kipi kikubwa mno mpaka yasikubalike Mtani.Tatizo la maombi ni kwamba yanaweza yasikubalike
Hahahahaaa. Wwwweeeeuuuweeeee Hahahahaaaa. LolMasikini kishingo akee[emoji23][emoji23]
Nakazia Mkuu.Pia waambie waangalie nyuzi za Coastal Union, hapo ndiyo watajua, kimya kingi hakikosi "Mshindo".
Wanacheeekaaaa!!