Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Mpaka kikosi kikae sawa ushaachwa pointi tisaKikosi tumekiona, marekebisho ya kocha yatakiweka sawa. Muda utaongea
uto washalalaMbona kimya hapaView attachment 1561130
Yanga wanakikosi kizuri tofauti na msimu uliopita ila timu Bado haijaunganika na Kila mchezaji Bado anacheza kivyake vyake..kisinda Hana end product watoto wa mtaani wanamwita kazi bure...Michael sarpong ni stiker mzuri na Ni mpjganaji, Yacouba sogne Ana control nzuri ila mzito na Hana Kasi,yanga hawana kiungo wakupiga killer pass zaidi ya niyonzima labda kwakua yanga tamaduni yao Ni kishambulia tokea pembeni, Prison ndio wamekosa magoli ya wazi zaidi kuliko yanga,kibwana shomari na Yassin yanga wameramba dume,zawadi mauya kaupiga mpira mwingi Sana beki zakati Bado tatizo yanga yote kwa yote yanga hawajatengeneza nafasi za uhakika Kama timu kwa washambuliajiNaomba shabiki yoyote wa simba anaejua mpira (pasipo ushabiki au utani) ani quote anipe analysis ya mechi ya Yanga na Tz prison. Nitashukuru sana kama nitapata mtu wa kunikunijibu kitaalamu zaidi kuliko kishabiki.
*Mbali na kupigana madongo naomba tutumie pia sehemu hii kama kupeana darasa au fact mbili tatu positive.
Asante, swali lingine kama la ziada japo hauwezi kutumia mechi moja kama measurement ya kufanya prediction, lakini kwa jicho lako la kiitalaam vipi tutegemee performance yao msimu huu? Hasa upande wa achievements.Yanga wanakikosi kizuri tofauti na msimu uliopita ila timu Bado haijaunganika na Kila mchezaji Bado anacheza kivyake vyake..kisinda Hana end product watoto wa mtaani wanamwita kazi bure...Michael sarpong ni stiker mzuri na Ni mpjganaji, Yacouba sogne Ana control nzuri ila mzito na Hana Kasi,yanga hawana kiungo wakupiga killer pass zaidi ya niyonzima labda kwakua yanga tamaduni yao Ni kishambulia tokea pembeni, Prison ndio wamekosa magoli ya wazi zaidi kuliko yanga,kibwana shomari na Yassin yanga wameramba dume,zawadi mauya kaupiga mpira mwingi Sana beki zakati Bado tatizo yanga yote kwa yote yanga hawajatengeneza nafasi za uhakika Kama timu kwa washambuliaji
Yanga msimu Kama timu itaunganika kwa haraka itasumbua Sana na itafanya vizuriAsante, swali lingine kama la ziada japo hauwezi kutumia mechi moja kama measurement ya kufanya prediction, lakini kwa jicho lako la kiitalaam vipi tutegemee performance yao msimu huu? Hasa upande wa achievements.