Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mbona kimya hapa
Instagram%20media%20-%20CEzipd_AFmL%20(%20640%20X%20640%20).jpg
 
Goallllllllllllllllllllllll
Dakika 109 Senzo anaifungia ZoaZoa Fc Goli la 2
Zoazoa Fc 2 Prisons 1 Huyu Senzo ni balaa anawasumbua sana Prisons.
 
Kwa jinsi nilivyoiona timu yetu pendwa Yanga sc nadiriki kusema kuwa angalau Simba atachukua ubingwa kwa tofauti ya points zisizozidi 20.

Daima mbele nyuma mwiko
 
GSM watuachie Yanga wametuletea magarasa ya As Vital ,Na yule dogo densa wa Yope kule Angola kumbe nae ni mzigo tu
 
Muda wenu wa furaha umekwisha furaha yenu ni kipindi cha usajili tu Ligi ikianza ni maumivu Endeleeni na umbea wenu wa Kujadili Bill 20 ambazo haziwahusu
 
Naomba shabiki yoyote wa simba anaejua mpira (pasipo ushabiki au utani) ani quote anipe analysis ya mechi ya Yanga na Tz prison. Nitashukuru sana kama nitapata mtu wa kunikunijibu kitaalamu zaidi kuliko kishabiki.

*Mbali na kupigana madongo naomba tutumie pia sehemu hii kama kupeana darasa au fact mbili tatu positive.
 
Yanga wanakikosi kizuri tofauti na msimu uliopita ila timu Bado haijaunganika na Kila mchezaji Bado anacheza kivyake vyake..kisinda Hana end product watoto wa mtaani wanamwita kazi bure...Michael sarpong ni stiker mzuri na Ni mpjganaji, Yacouba sogne Ana control nzuri ila mzito na Hana Kasi,yanga hawana kiungo wakupiga killer pass zaidi ya niyonzima labda kwakua yanga tamaduni yao Ni kishambulia tokea pembeni, Prison ndio wamekosa magoli ya wazi zaidi kuliko yanga,kibwana shomari na Yassin yanga wameramba dume,zawadi mauya kaupiga mpira mwingi Sana beki zakati Bado tatizo yanga yote kwa yote yanga hawajatengeneza nafasi za uhakika Kama timu kwa washambuliaji
 
Asante, swali lingine kama la ziada japo hauwezi kutumia mechi moja kama measurement ya kufanya prediction, lakini kwa jicho lako la kiitalaam vipi tutegemee performance yao msimu huu? Hasa upande wa achievements.
 
Back
Top Bottom