Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Za shuulia ya nani yakokidogo tuu mmngeshona sare zingine
Hili napingaUnajua mikia hawa wanajitahid saana saana kitupangia matokeo na huyu mo anajitahid kutoa pesa yanga ifungwe hasa safar hii anachotaka kua tudroo 5 na kufungwa 5 tupoteze mechi 10 unajua bongo ndo maaba hatukui kwa mpira coz fitna tu za mbwa hawa yaani nawachukia kuliko kitu chochote waache mpira uchezwe tu bas kwan watapungua nini
Kwani wewe ni Mo?
🤣🤣🤣🤣 Naamini kishabadilika jina sio kioja tena.Kupata kioja kama hiki tuma neno Shadeeya kwenda namba 9866.