Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Unajua mikia hawa wanajitahid saana saana kitupangia matokeo na huyu mo anajitahid kutoa pesa yanga ifungwe hasa safar hii anachotaka kua tudroo 5 na kufungwa 5 tupoteze mechi 10 unajua bongo ndo maaba hatukui kwa mpira coz fitna tu za mbwa hawa yaani nawachukia kuliko kitu chochote waache mpira uchezwe tu bas kwan watapungua nini
 
Hili napinga

Sent from my SM-G530T using JamiiForums mobile app
 
3 muhimu sanaaaa!! Nilichogundua sasa hivi kila timu inayocheza na Yanga inakamia sana kwa sababu ya wachezaji wazuri tulio nao. Hata Simba watatukamia sana
 
KMC 4 Mbeya city 0

Yanga 1 Mbeya city 0

Umegundua nini hapo???????? KMC wanatimu bora kuliko Yanga hutaki acha sikulazimishi kukubali.
 
Next ni Kagera sugar Away
Then Mtibwa Jamuhuri.
Tutatafutana humu kwa timu hii na kwa uchezaji huu Mtarudi na point 1 kama sio 2.
 
Yanga bana mmecheza mechi mbili uwanja wa nyumbani tena uwanja wa Mkapa mmeshindwa hata kushika hata nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi Halafu mnadanganyana eti mtakuja kuongoza ligi hahahahahahahahah
 
HATUJALI WALA NINI
20200914_052627.jpg
 
Back
Top Bottom