mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kiuno hatari,
yule dancer wa diamond (mose iyobo)haoni ndani
Sio yeye huyo, huoni ni tofauti kabisa.
Ni yeyeee.. [emoji23] [emoji23]Sio yeye huyo, huoni ni tofauti kabisa.
Sio yeye na uongozi ushakanusha kwa nn unabisha mkuu.Ni yeyeee.. [emoji23] [emoji23]
Yule ni shoga au huoni kama yule shoga.Ni yeyeee.. [emoji23] [emoji23]
For the 1st time nalike comment ya shabiki wa uto bila kinyongo,Wakuu wananchi wenzangu habari zenu popote pale mlipo. Mimi nina wazo la jinsi gani tuweze kuisaidia timu yetu pendwa ya Yanga ili panapo majaliwa tushuhudie timu yetu hii ikijenga uwanja wake yenyewe pasipo kutegemea misaada ya wafadhili.
Yanga ni timu kubwa na yenye rasilimali watu ya kutosha kabisa kuweza kujenga uwanja wake mkubwa na Academy yake (shule ya mpira).
Hivyo basi pendekezo langu (proposal) ni [emoji116][emoji116]
Kwanza kabisa Yanga tuingie ubia na banks kubwa mfano CRDB au NMB, zen tuiruhusu taasisi husika kutoa kadi za uanachama ambapo kupitia kadi hizo mwanachama aweze kuweka au kutoa pesa (kadi hizo zitolewe kwa bei nafuu ili zisimkwaze mwanachama kuimiliki na zipatikane matawi yote ya benki husika nchi nzima).
Baada ya hapo kampeni ipigwe nchi nzima kusisitiza wananchi kumiliki kadi hizo. Kadi ziwe za aina mbili Royal cards na Ordinary cards, wenye royal cards wawe wanachangia kuanzia sh10,000 na Ordinary cards wawe wanachangia sh 1000 kwa mwezi.
Kampeni ihusu ujenzi wa uwanja na academy ya Yanga, baada ya hapo Yanga ichukue mkopo kutoka benki husika, tunaweza kuanza kwa kuchukua mkopo wa bilioni 30 ambapo zinatosha kuanza nazo (hapa tunaweza pia hata kuomba mkopo PSPF).
Huo mkopo tutakuwa tunaurudisha kupitia rejesho la kila mwezi sisi mashabiki na hapa tunahitaji viongozi waaminifu lkn pia hilo rejesho lipitie benki husika na lisipitie popote pale lkn pia huo mkopo ukishatolewa apewe mdhabuni moja kwa moja ili kuepuka ufisadi, je ni mwana Yanga gn atagoma kuchangia elfu moja kila mwezi wakati anaona uwanja unajengwa? Haya mambo ya kutegemea wafadhili mwishowe wanaanza kututawala umepitwa na wakati.
Narudia haya mambo ya kutegemea wafadhili yamepitwa na wakati, tusijiongopee eti wafadhili watajenga uwanja never, maendeleo ya kweli ya Yanga yataletwa na sisi mashabiki kwa kuamua kubadilika na co kutegemea hisani ni aibu kubwa, yn leo mfadhili akichukia tunarudi kule kule ni aibu.
Hii proposal nimeiandaa na ninayo lkn nilipewa namba ya mwenyekiti ili niombe appointment naye cha ajabu apokei simu wala hajibu sms nataka siku nikipata nafasi niende makao makuu kuwapa hii proposal wakiielewa wai impliment.
Daima mbele nyuma mwiko.
Kweli kabisa mkuu tm zetu hz zina uwezo mkubwa sana na zinajiweza sema tunakosa viongozi wa kweli tu.For the 1st time nalike comment ya shabiki wa uto bila kinyongo,
Mkuu, haya ndio mambo ya maana sasa, hongera sana.. Hili wazo hata mwakalebela hąwezi kuwaza
Great great wazo.Wakuu wananchi wenzangu habari zenu popote pale mlipo. Mimi nina wazo la jinsi gani tuweze kuisaidia timu yetu pendwa ya Yanga ili panapo majaliwa tushuhudie timu yetu hii ikijenga uwanja wake yenyewe pasipo kutegemea misaada ya wafadhili.
Yanga ni timu kubwa na yenye rasilimali watu ya kutosha kabisa kuweza kujenga uwanja wake mkubwa na Academy yake (shule ya mpira).
Hivyo basi pendekezo langu (proposal) ni [emoji116][emoji116]
Kwanza kabisa Yanga tuingie ubia na banks kubwa mfano CRDB au NMB, zen tuiruhusu taasisi husika kutoa kadi za uanachama ambapo kupitia kadi hizo mwanachama aweze kuweka au kutoa pesa (kadi hizo zitolewe kwa bei nafuu ili zisimkwaze mwanachama kuimiliki na zipatikane matawi yote ya benki husika nchi nzima).
Baada ya hapo kampeni ipigwe nchi nzima kusisitiza wananchi kumiliki kadi hizo. Kadi ziwe za aina mbili Royal cards na Ordinary cards, wenye royal cards wawe wanachangia kuanzia sh10,000 na Ordinary cards wawe wanachangia sh 1000 kwa mwezi.
Kampeni ihusu ujenzi wa uwanja na academy ya Yanga, baada ya hapo Yanga ichukue mkopo kutoka benki husika, tunaweza kuanza kwa kuchukua mkopo wa bilioni 30 ambapo zinatosha kuanza nazo (hapa tunaweza pia hata kuomba mkopo PSPF).
Huo mkopo tutakuwa tunaurudisha kupitia rejesho la kila mwezi sisi mashabiki na hapa tunahitaji viongozi waaminifu lkn pia hilo rejesho lipitie benki husika na lisipitie popote pale lkn pia huo mkopo ukishatolewa apewe mdhabuni moja kwa moja ili kuepuka ufisadi, je ni mwana Yanga gn atagoma kuchangia elfu moja kila mwezi wakati anaona uwanja unajengwa? Haya mambo ya kutegemea wafadhili mwishowe wanaanza kututawala umepitwa na wakati.
Narudia haya mambo ya kutegemea wafadhili yamepitwa na wakati, tusijiongopee eti wafadhili watajenga uwanja never, maendeleo ya kweli ya Yanga yataletwa na sisi mashabiki kwa kuamua kubadilika na co kutegemea hisani ni aibu kubwa, yn leo mfadhili akichukia tunarudi kule kule ni aibu.
Hii proposal nimeiandaa na ninayo lkn nilipewa namba ya mwenyekiti ili niombe appointment naye cha ajabu apokei simu wala hajibu sms nataka siku nikipata nafasi niende makao makuu kuwapa hii proposal wakiielewa wai impliment.
Daima mbele nyuma mwiko.
Nataka niliwahishe ili wasije wapuuzi wa pale msimbazi walichukue wajifanye wao ndo wanaakili [emoji3][emoji3]Great great wazo.
hili msimbazi walishalifanya kupitia bank ya Equit,kwahiyo UTO DE MKUNUNGU au NGONGINGO FC mtakuwa mnafanya copy and paste na sio jambo baya,Nataka niliwahishe ili wasije wapuuzi wa pale msimbazi walichukue wajifanye wao ndo wanaakili [emoji3][emoji3]
Mliomba mkopo na mkapewa? Na ulifanyia nn huo mkopo cz hapo lengo co cards lengo ni mkopo, je mliomba mkopo??hili msimbazi walishalifanya kupitia bank ya Equit,kwahiyo UTO DE MKUNUNGU au NGONGINGO FC mtakuwa mnafanya copy and paste na sio jambo baya,
Yn hzo cards zina act km collaterals za kuombea mkopo na co km mlivyofanya nyie kisifa sifa pasipokuwa na malengo yoyote mkuu.Mliomba mkopo na mkapewa? Na ulifanyia nn huo mkopo cz hapo lengo co cards lengo ni mkopo, je mliomba mkopo??
KipunguniUkinuna naongezaView attachment 1570371View attachment 1570372
Nmekuelewa zaid ya sanaWakuu wananchi wenzangu habari zenu popote pale mlipo. Mimi nina wazo la jinsi gani tuweze kuisaidia timu yetu pendwa ya Yanga ili panapo majaliwa tushuhudie timu yetu hii ikijenga uwanja wake yenyewe pasipo kutegemea misaada ya wafadhili.
Yanga ni timu kubwa na yenye rasilimali watu ya kutosha kabisa kuweza kujenga uwanja wake mkubwa na Academy yake (shule ya mpira).
Hivyo basi pendekezo langu (proposal) ni [emoji116][emoji116]
Kwanza kabisa Yanga tuingie ubia na banks kubwa mfano CRDB au NMB, zen tuiruhusu taasisi husika kutoa kadi za uanachama ambapo kupitia kadi hizo mwanachama aweze kuweka au kutoa pesa (kadi hizo zitolewe kwa bei nafuu ili zisimkwaze mwanachama kuimiliki na zipatikane matawi yote ya benki husika nchi nzima).
Baada ya hapo kampeni ipigwe nchi nzima kusisitiza wananchi kumiliki kadi hizo. Kadi ziwe za aina mbili Royal cards na Ordinary cards, wenye royal cards wawe wanachangia kuanzia sh10,000 na Ordinary cards wawe wanachangia sh 1000 kwa mwezi.
Kampeni ihusu ujenzi wa uwanja na academy ya Yanga, baada ya hapo Yanga ichukue mkopo kutoka benki husika, tunaweza kuanza kwa kuchukua mkopo wa bilioni 30 ambapo zinatosha kuanza nazo (hapa tunaweza pia hata kuomba mkopo PSPF).
Huo mkopo tutakuwa tunaurudisha kupitia rejesho la kila mwezi sisi mashabiki na hapa tunahitaji viongozi waaminifu lkn pia hilo rejesho lipitie benki husika na lisipitie popote pale lkn pia huo mkopo ukishatolewa apewe mdhabuni moja kwa moja ili kuepuka ufisadi, je ni mwana Yanga gn atagoma kuchangia elfu moja kila mwezi wakati anaona uwanja unajengwa? Haya mambo ya kutegemea wafadhili mwishowe wanaanza kututawala umepitwa na wakati.
Narudia haya mambo ya kutegemea wafadhili yamepitwa na wakati, tusijiongopee eti wafadhili watajenga uwanja never, maendeleo ya kweli ya Yanga yataletwa na sisi mashabiki kwa kuamua kubadilika na co kutegemea hisani ni aibu kubwa, yn leo mfadhili akichukia tunarudi kule kule ni aibu.
Hii proposal nimeiandaa na ninayo lkn nilipewa namba ya mwenyekiti ili niombe appointment naye cha ajabu apokei simu wala hajibu sms nataka siku nikipata nafasi niende makao makuu kuwapa hii proposal wakiielewa wai impliment.
Daima mbele nyuma mwiko.
Pa1 mkuu.Nmekuelewa zaid ya sana