Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

ooh ok, mjitahidi

mizunguko yote miwil ni timu 4 tu zimeshinda ugenini.. mambo mazito
Yaani ni kweli usemalo na hata mie nimejikuta nachanganyikiwa kwani tuna mechi ambazo hata hazitabiriki.

Yaani baada Kagera inafuata mechi Mtibwa, coastal Unioni kisha na Polisi Tanzania.

Hatari.
 
Yaani ni kweli usemalo na hata mie nimejikuta nachanganyikiwa kwani tuna mechi ambazo hata hazitabiriki.

Yaani baada Kagera inafuata mechi Mtibwa, coastal Unioni kisha na Polisi Tanzania.

Hatari.
Poleni sana.

Nilikwambia baada ya mechi kumi kila timu itarudi kwenye nafasi yake Stay tune..
 
Ndio ni mwizi wa magari au mmesahau.

Nasubiria sababu nasikia tayari humo ndani mauza uza kibao mpaka mumependekeza tuingie uwanjani kwa bei ya ubweche. [emoji23][emoji23]
Hahah Morisson hajawahi kuwa mwizi mnamsingizia.

Ongeeni yote ila leo Kagera watawafunga tu
 
Na Shadeeya na wenzake wa Chura FC wasivyokua wavumilivu utasikia sasa hivi wanaanza "Mmetuletea kocha gani kwanza huyu, huko kwao alikua muuza matikiti tu"😀
Hahahaaa. Hamna kitu ka hiyo banaa.

Msisahau kwamba kwa sasa Kikosi chetu ni moja ya vikosi bora sasa hivyo subiria uone.

Leo nimeweka LUKU umeme utakuwepo. 😎
 
Unamaana gani [emoji4]
Hii wiki kuna siku nilienda pale Regency Hospital nikamuona mtu kafanana mbaya na hiyo Avatar na yeye ni mrefu kama Kagame aisee sema hana hizo ndevu Karantini.

Basi nikawa nasema waeza kuta ndo wewe. 🤣🤣
 
20200919_100710.jpg
 
Hahahaaa. Hamna kitu ka hiyo banaa.

Msisahau kwamba kwa sasa Kikosi chetu ni moja ya vikosi bora sasa hivyo subiria uone.

Leo nimeweka LUKU umeme utakuwepo. 😎
Hichohicho kikosi chenu baadae mtakuja kusema sio kikosi bora bali bora kikosi😂😂😂

Kwenye umeme unadhani tatizo lako linakuaga ni LUKU basi Shadeeya? Si TANESCO ndio wanakukatia hasa pale mnapopoteana uwanjani😀😀😀
 
Hii wiki kuna siku nilienda pale Regency Hospital nikamuona mtu kafanana mbaya na hiyo Avatar na yeye ni mrefu kama Kagame aisee sema hana hizo ndevu Karantini.

Basi nikawa nasema waeza kuta ndo wewe. [emoji1787][emoji1787]
hahahaha sio mm, ukimuona mtu wa hivyo maeneo ya Mwenge jua n mm
 
Back
Top Bottom