Hahahaa. Yule ameshaipenda Kijani na njano na hana tamaa tamaa kama yule mwizzi wa magari.Kale katoto bado tunapima ufanisi wake kuona kama atatufaa msimu ujao..
Naona umetuita kwa wingi muda si mrefu tunaenda kuuharibu uzi wa watu[emoji23]
Leo tuna jambo letu Mtani subiri ujionee.Wale wakata miwa sijui kama watawaacha salama[emoji23][emoji23]
Hivi Mtani duniani wawili wawili eee? ๐ค๐คooh ok, mjitahidi
mizunguko yote miwil ni timu 4 tu zimeshinda ugenini.. mambo mazito
Hahah sasa hvi mwizi wa magari tena!??Hahahaa. Yule ameshaipenda Kijani na njano na hana tamaa tamaa kama yule mwizzi wa magari.
Kagera wana jambo lao leoPole sana kwa kuwa na matamanio yasowezekana!
Yaani ni kweli usemalo na hata mie nimejikuta nachanganyikiwa kwani tuna mechi ambazo hata hazitabiriki.ooh ok, mjitahidi
mizunguko yote miwil ni timu 4 tu zimeshinda ugenini.. mambo mazito
Ndio ni mwizi wa magari au mmesahau.Hahah sasa hvi mwizi wa magari tena!??
Subiri uone pesa haishindwi kitu
Poleni sana.Yaani ni kweli usemalo na hata mie nimejikuta nachanganyikiwa kwani tuna mechi ambazo hata hazitabiriki.
Yaani baada Kagera inafuata mechi Mtibwa, coastal Unioni kisha na Polisi Tanzania.
Hatari.
Hahah Morisson hajawahi kuwa mwizi mnamsingizia.Ndio ni mwizi wa magari au mmesahau.
Nasubiria sababu nasikia tayari humo ndani mauza uza kibao mpaka mumependekeza tuingie uwanjani kwa bei ya ubweche. [emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Hamna kitu ka hiyo banaa.Na Shadeeya na wenzake wa Chura FC wasivyokua wavumilivu utasikia sasa hivi wanaanza "Mmetuletea kocha gani kwanza huyu, huko kwao alikua muuza matikiti tu"๐
Unamaana gani [emoji4]Hivi Mtani duniani wawili wawili eee? [emoji848][emoji848]
Doooh!!! Leo Muhindi kaniacha furiiii hivyo nitakuwepo for all ninety minutes hivyo nitakuwepo kuwakerrraaaa. ๐คฃ๐คฃ๐คฃHahahahahahahahah MUNGU IBARIKI Kagera sugar.
Tutowe wapi pesa sisi.Isijekua mshapitisha muamala kwa Mecky awalegezee, si kwa kujiamini huko๐คฃ๐๐
Hii wiki kuna siku nilienda pale Regency Hospital nikamuona mtu kafanana mbaya na hiyo Avatar na yeye ni mrefu kama Kagame aisee sema hana hizo ndevu Karantini.Unamaana gani [emoji4]
Ahsante Mtani!! Ila naamini tutafanya vyema.Poleni sana.
Nilikwambia baada ya mechi kumi kila timu itarudi kwenye nafasi yake Stay tune..
Hichohicho kikosi chenu baadae mtakuja kusema sio kikosi bora bali bora kikosi๐๐๐Hahahaaa. Hamna kitu ka hiyo banaa.
Msisahau kwamba kwa sasa Kikosi chetu ni moja ya vikosi bora sasa hivyo subiria uone.
Leo nimeweka LUKU umeme utakuwepo. ๐
Dooh!! Leo hii sio mwizi. ๐คฃHahah Morisson hajawahi kuwa mwizi mnamsingizia.
Ongeeni yote ila leo Kagera watawafunga tu
Kilikuwa cha kina Yikipe hicho.Hichohicho kikosi chenu baadae mtakuja kusema sio kikosi bora bali bora kikosi๐๐๐
Kwenye umeme unadhani tatizo lako linakuaga ni LUKU basi Shadeeya? Si TANESCO ndio wanakukatia hasa pale mnapopoteana uwanjani๐๐๐
hahahaha sio mm, ukimuona mtu wa hivyo maeneo ya Mwenge jua n mmHii wiki kuna siku nilienda pale Regency Hospital nikamuona mtu kafanana mbaya na hiyo Avatar na yeye ni mrefu kama Kagame aisee sema hana hizo ndevu Karantini.
Basi nikawa nasema waeza kuta ndo wewe. [emoji1787][emoji1787]