Oooh!! Sawa Mtani.hahahaha sio mm, ukimuona mtu wa hivyo maeneo ya Mwenge jua n mm
Hicho ulichosema ni kweli, kwa sababu baraza la wazee wanaongea mno, tena wanajiita mashabiki wa Kagera sugar. Dua zao ni Sawa na dua la kuku, huku mwewe akiendelea kunyakua vifaranga.Leo Kaitaba pale kutawaka moto..,........ Zitafungwa timu mbili kwa maramoja. Kagera+Baraza la wazee
DdNdio ni mwizi wa magari au mmesahau.
Nasubiria sababu nasikia tayari humo ndani mauza uza kibao mpaka mumependekeza tuingie uwanjani kwa bei ya ubweche. [emoji23][emoji23]
Hahahaa!! Balaa.
Yap mzima kabisa vipi wewe?Subiria uone nini kitatokea Mtani.
Mzima?