Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hawa mikia au mbwa koko wa bukutatu uzi wao umepoa kama mkojo wa ngedere kule.... Kazi yao kujaaa huku na kupiga umbea tu.... Munatafuta Mabwana muolewe sio????? Umbwa ninyi
 
KUMEKUCHA BUKOBA.
20200919_112037.jpg
 
Hata wakisema kiingilio Bure , walete Diamond , Zuku , Mbosso watoe burudani kabla ya mechi NAKUHAKIKISHIA TASAF FC HAWAJAZI UWANJA
 
Back
Top Bottom