Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kikubwa points tatu Mtani hayo ya ushindi mwembamba na mnene tutayajua mwisho wa ligi. [emoji1787]
Hvi unahisi mwisho wa ligi kutakuwa na mabadiliko yeyote mtani!??

Hamna mwendo nyie soon mnarudi kwenye hali yenu ya unyonge mliyoizoea
 
Hvi unahisi mwisho wa ligi kutakuwa na mabadiliko yeyote mtani!??

Hamna mwendo nyie soon mnarudi kwenye hali yenu ya unyonge mliyoizoea
Yap!! Naamini this season yatakuwepo Mtani.

Hiyo ya unyonge ilikuwa ile kipindi wapo kina Yikipe Mtani ila si sasa.
 
Ahsante Mtani.

Hii kwa mbinde imefushafutika kwani kwa sasa tunazungumzia Points saba Mtani.
Mnalo la kujiuliza hapo mtani, maana Mkienda kwenye yale mashamba yenye visiki vya miwa, utamuelewa huyo kalinyo wenu kwa nn alikimbizwa kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…