Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kikubwa points tatu Mtani hayo ya ushindi mwembamba na mnene tutayajua mwisho wa ligi. 🤣Yanga hatimaye imeshinda kwa mbinde sana tena ushindi mwembamba mno.
Hongereni kwa kunusurika kutoka suluhu.