Eti mna kocha kiazi. Ni wenu huyo mvumilieni tu. 😎Mechi yenu leo ni kama haikua na plan kabisa, yani kuonyesha tu kwamba hii timu kuna kitu inatafuta hakuna, kuna kazi kubwa sana ya kufanya
mna kazi ya kujenga kikosi, sisi tuna kocha kiaz [emoji1][emoji1][emoji1]
Ila naamini tutakaa sawa hasa pale kocha atakapopata kikosi maalum na sio hii changanya changanya anayoifanya sasa.Mechi yenu leo ni kama haikua na plan kabisa, yani kuonyesha tu kwamba hii timu kuna kitu inatafuta hakuna, kuna kazi kubwa sana ya kufanya
mna kazi ya kujenga kikosi.
Labda apate maelekezo hayo Mtani kwani kwa sasa nimuonavyo amuzi lake la kwanza ni kufunga yeye tu na si kugawa pasi kwa wenziwe.Sijui ni macho yangu tu .. ila nadhani Tuisila anafaa kutumika kama "Mpango Maalumu" ukiacha upuuz wake wa hapa na pale yule jamaa ana pace moja hatari sana, probably kuliko full back yeyote yule atakae kutana nae..na ana uwezo mkubwa tu wa kugeuka na kuingia ndani, anafaa kutumika kama njia ya kupitisha mashambuli, ila awe na maelekezo, kupiga kross na V pass ziwe amuzi lake la kwanza, kufunga mwenyewe liwe amuz la mwsho, mtamfurahia
Tatizo mi zile mechi naendaga Uwanjani hivyo nikifika Taifa huwa hamnaga network na pia sihangaikagi na simu zaidi ya yale yanayoendelea pale hivyo huwezi niona hapa Mtani labda kesho yake.Mkoko Tonong'ombe anafanya utulingishie, hujui sisi tunao wengi, naomba online siku hiyo, maana huchelewi kusingizia ..... Shadeeya
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
yule kufunga anapiga sana nje, anapaswa achana nalo, nadhan kama wanamuona huko watafanya maamuzi sahihiLabda apate maelekezo hayo Mtani kwani kwa sasa nimuonavyo amuzi lake la kwanza ni kufunga yeye tu na si kugawa pasi kwa wenziwe.
hamna kocha pale, anatembelea uwezo wa timu tuEti mna kocha kiazi. Ni wenu huyo mvumilieni tu. [emoji41]
Hakika usemalo Mtani.yule kufunga anapiga sana nje, anapaswa achana nalo, nadhan kama wanamuona huko watafanya maamuzi sahihi
Mlipochukua makombe mlikuwa kimyaaa. 😅😅😅hamna kocha pale, anatembelea uwezo wa timu tu
Kisila ni mchezaji machachari si mchezaji hatariSijui ni macho yangu tu .. ila nadhani Tuisila anafaa kutumika kama "Mpango Maalumu" ukiacha upuuz wake wa hapa na pale yule jamaa ana pace moja hatari sana, probably kuliko full back yeyote yule atakae kutana nae..na ana uwezo mkubwa tu wa kugeuka na kuingia ndani, anafaa kutumika kama njia ya kupitisha mashambuli, ila awe na maelekezo, kupiga kross na V pass ziwe amuzi lake la kwanza, kufunga mwenyewe liwe amuz la mwsho, mtamfurahia
Kuna sehemu alichomoka golini kwenda kufuata mpira halafu akiwa njiani akasita kidogo kabla hajaamua kwenda mazima na alipoenda akaukosa mpira aiseeHuyu Metacha ana masihara sio bure. Au ndo vipimo vyake vinampimia anapaswa kusimama tu mana ananipa hofu saa ingine.
Huu ushindi ni muhimu mnooo mana kagera si timu ya hovyo hovyoFULL TIME KAGERA 0 - YANGA 01
"DAIMA MBELE NYUMA MWIKO"
Yale makombe wala tusinge yakosa , kocha yeyote pale anatupa, timu iko vizuri, ila yule kocha hamna kituMlipochukua makombe mlikuwa kimyaaa. [emoji28][emoji28][emoji28]
Mfukuzeni mlete mungine.
Daa ananistua kidogo huyu mwalimu. Haiwezekani timu isibadilike hata kidogo tangu alipoichukuaIla naamini tutakaa sawa hasa pale kocha atakapopata kikosi maalum na sio hii changanya changanya anayoifanya sasa.
Jana sikumuelewa kocha wenuDaa ananistua kidogo huyu mwalimu. Haiwezekani timu isibadilike hata kidogo tangu alipoichukua
Siyo Jana tu ndugu hadi sasa hatuelewi ni mwalimu Wa namna gani mana timu haijaonyesha inatumia falsafa zipi