Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mechi yenu leo ni kama haikua na plan kabisa, yani kuonyesha tu kwamba hii timu kuna kitu inatafuta hakuna, kuna kazi kubwa sana ya kufanya

mna kazi ya kujenga kikosi, sisi tuna kocha kiaz [emoji1][emoji1][emoji1]
Eti mna kocha kiazi. Ni wenu huyo mvumilieni tu. 😎
 
Mechi yenu leo ni kama haikua na plan kabisa, yani kuonyesha tu kwamba hii timu kuna kitu inatafuta hakuna, kuna kazi kubwa sana ya kufanya

mna kazi ya kujenga kikosi.
Ila naamini tutakaa sawa hasa pale kocha atakapopata kikosi maalum na sio hii changanya changanya anayoifanya sasa.
 
Sijui ni macho yangu tu .. ila nadhani Tuisila anafaa kutumika kama "Mpango Maalumu" ukiacha upuuz wake wa hapa na pale yule jamaa ana pace moja hatari sana, probably kuliko full back yeyote yule atakae kutana nae..na ana uwezo mkubwa tu wa kugeuka na kuingia ndani, anafaa kutumika kama njia ya kupitisha mashambuli, ila awe na maelekezo, kupiga kross na V pass ziwe amuzi lake la kwanza, kufunga mwenyewe liwe amuz la mwsho, mtamfurahia
Labda apate maelekezo hayo Mtani kwani kwa sasa nimuonavyo amuzi lake la kwanza ni kufunga yeye tu na si kugawa pasi kwa wenziwe.
 
Mkoko Tonong'ombe anafanya utulingishie, hujui sisi tunao wengi, naomba online siku hiyo, maana huchelewi kusingizia ..... Shadeeya

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Tatizo mi zile mechi naendaga Uwanjani hivyo nikifika Taifa huwa hamnaga network na pia sihangaikagi na simu zaidi ya yale yanayoendelea pale hivyo huwezi niona hapa Mtani labda kesho yake.
 
Sijui ni macho yangu tu .. ila nadhani Tuisila anafaa kutumika kama "Mpango Maalumu" ukiacha upuuz wake wa hapa na pale yule jamaa ana pace moja hatari sana, probably kuliko full back yeyote yule atakae kutana nae..na ana uwezo mkubwa tu wa kugeuka na kuingia ndani, anafaa kutumika kama njia ya kupitisha mashambuli, ila awe na maelekezo, kupiga kross na V pass ziwe amuzi lake la kwanza, kufunga mwenyewe liwe amuz la mwsho, mtamfurahia
Kisila ni mchezaji machachari si mchezaji hatari
 
Maoni ya wachambuzi leo
Screenshot_2020-09-19-20-12-27.jpeg
Screenshot_2020-09-19-20-11-03.jpeg
Screenshot_2020-09-19-20-10-50.jpeg
 
*Nilichogundua ni kuwa tumewazoea sana Simba, maana nawaza*

1.Angefanya calinhos aliyofanya Chama (Goli 2 Assist Moja), kusingekalika humu, kama aliingia dk ya 80 akapiga faulo na kona tu akawa man of the match, ingekuwaje Jana ndio kacheza km Chama Je??

2.Zile fujo za Mzamiru angezifanya Mukoko humu pasingetosha

3. Zile Driblling na kasi ya shabalala angezifanya yule yassin sijui ingekuwaje humu.

4.Zile pasi 3 za konde boy za mabao angezipiga tuisila sijui ingekuwaje tu.

5.Vile vichwa na ukabaji wa Onyango ungefanywa na Mwamnyeto,tungekoma humu

6.Lile goli la Mugalu lingefungwa na Sapong nadhani angebebwa toka taifa hadi kigamboni.kama alifunga tu goli la piga nikupige akasifiwa wiki nzma,je lile la utulivu LA Mugalu?.

*NB: Tumewazoea sana hawa Simba, nadhani siyo level ya kucheza na timu za bongo pale kwa mkapa,ndio maana hatuwashangai sana*.
 
Back
Top Bottom