Nakuona Ndetichia mshabiki wa Azam unafuatilia wapinzani wenu wa karibu kule Kirumba!
timu mbovu kabisa na inaua soka la bongo,rejea gazeti la yanga la juzi lililosema eti yanga yaibeba toto,huu ni upumbavu kabisa usiotakiwa kuvumiliwa na kushabikiwa kabisa,hatuhitaji kubebana hapa,tunahitaji timu ipigane yenyewe na kushuka daraja kama wigan athletic vile,issue kama hii iliwahi kutokea italy miaka michache iliyopita wao walipanga matokeo na wapenda maendeleo ya soka wanafahamu kilichotokea,sasa tunataka kwa tamko hilo la gazeti la yanga,TFF,Ichukue hatua kali sana kwa yanga
Yanga waje na utetezi wao sasa, naona na leo "wameibeba Kagera."
Safi sana Toto Africans na Kagera Sugar....
Kwa hali ilivyo sasa ndani ya Yanga sioni ajabu kufungwa mechi 2 mfululizo...Yanga tumefugwa kwa sababu ya kujitakia....Kiwango cha uchezaji kimeshuka,wachezaji hawana morali ya ushindi......Timu haina nidhamu kuanzia kwa vipngozi,kocha mpaka wachezaji....
Lawama zangu nazielekeza kwa Mwenyekiti Nchunga na viongozi wenzangu kwa kitendo chao cha kipuuzi na cha kijinga kabisa cha kumtimua SAM TIMBE ambaye aliwaletea ubingwa wa VPL na KAGAME(kitu ambacho kilimshinda Papic kiasi cha kubwaga manyanga na kuacha kuifundisha Yanga)...Sikuona sababu ya viongozi wa Yanga kumtimua Timbe na kumrudisha Papic ambaye tayari alishindwa kuipa mafanikio Yanga....
Kwa ujumla mpaka dakika hii Yanga hatuna chetu mwaka huu.....Hata nafasi ya 2 sio yetu.....Bingwa mwaka huu ni SIMBA na naomba nitumie fursa hii kuwapongeza watani wangu akina Masuke, PrN Kazi, Crashwize na wanyama wengine kwa kujihakikishia Ubingwa mapema kabla hata ligi haijaisha......Hongereni sana SIMBA....
Yanga tunachotakiwa ni kujipanga na kuangalia ni wapi tumekosea na ikiwezekana kumtimulia mbali Kosta Papoc na magarasa yake Mwape na Asamoah......Ikiwezekana tumrejeshe SAM TIMBE ama tumpatie timu MASTER(Charles Boniface)......
Poleni sana wana Yanga wenzangu kwa kipindi hiki kigumu.....Ni hali ya kawaida katika soka la ushindani...
Yanga: Daima Mbele, Nyuma Mwiko......

Pole sana mkuu lakini ushindi bado mpaka tuka mechi na moro ndipo unaweza kuanza kutupongeza au kama Azam atafanya madudu mechi tatu zilizo baki....Kwa ujumla mpaka dakika hii Yanga hatuna chetu mwaka huu.....Hata nafasi ya 2 sio yetu.....Bingwa mwaka huu ni SIMBA na naomba nitumie fursa hii kuwapongeza watani wangu akina Masuke, PrN Kazi, Crashwize na wanyama wengine kwa kujihakikishia Ubingwa mapema kabla hata ligi haijaisha......Hongereni sana SIMBA....
Gang Chomba huwezi kumlinganisha na Balantanda...Balantanda huongerea soka wakati Gang huongerea ushabiki.....Namsubiri Gang Chomba aje aongee kama Balantanda