Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyu Nchunga anastahili kuchinjwa,haiwezekani tunafungwa kipigo cha aibu

Punguza hasira Mkuu,

nafikiri "tumtafute tumtwange mangumi huku tukimkimbiza kama kawaida yetu!"
 
Huyu Nchunga anastahili kuchinjwa,haiwezekani tunafungwa kipigo cha aibu

Hamfikirii nje ya box? Inawezekana wale wazee wamehujumu timu ili wampake matope Nchunga, we angalia hata kufungwa kwenyewe.
Yanga Afrika ni mbovu yes, lakini si kiasi cha kufungwa goli 5, tena kwa penalti tatu.
Hebu fikirieni wakuu, by the way, VIVA AZAM CF, kwa kumaliza msimu na nafasi ya pili.
 
nasikia imeenda timu B ni kweli?
Ni timu B kweli mkuu ilipelekwa halafu nasikia wamefukuzwa na chama cha soka za Zanzibar kwa kushirikiana na serikali ya huko, wanayanga njooni mthibitishe ni kweli watoto wenu wamerudishwa?
 
Ni timu B kweli mkuu ilipelekwa halafu nasikia wamefukuzwa na chama cha soka za Zanzibar kwa kushirikiana na serikali ya huko, wanayanga njooni mthibitishe ni kweli watoto wenu wamerudishwa?
Masuke,yanakuhuuuu??
 
Last edited by a moderator:
Ni timu B kweli mkuu ilipelekwa halafu nasikia wamefukuzwa na chama cha soka za Zanzibar kwa kushirikiana na serikali ya huko, wanayanga njooni mthibitishe ni kweli watoto wenu wamerudishwa?

ni kweli Yanga nje kutokana na ubabaishaji wao.
 
Ni timu B kweli mkuu ilipelekwa halafu nasikia wamefukuzwa na chama cha soka za Zanzibar kwa kushirikiana na serikali ya huko, wanayanga njooni mthibitishe ni kweli watoto wenu wamerudishwa?
yanga hawana timu B, labda kama wliokoteza wachezaji mitaani halafu wakawapa jezi wakacheze!
 
Kocha Mpya wa Yanga Thom Saintfiet Awasili Nchini:

KOcha Yanga 5.jpg
Akizungumza na Waandishi wa habari Airport

Kocha Yanga 4.jpg
Akijumuika na wapenzi na wanachama wa yanga waliokwenda kumpokea

Kocha Yanga 6.jpg
Wapenzi wa yanga wakifurahia ujio wa kocha wao

Thom saintfiet presss.jpg
Akiwa Jangwani makao makuu

Source :bongostaz blog
 
Kombe la ubabaishaji hata simba nja zinawasumbua,. Wale wapemba walitaka hela za vingilio si ndo mana fainali wameamishia dsm bila sababu za msingi
 
Yono unaegombea uongozi Yanga yueleze zabuni ya tenda ya kukamata jezi za Yanga mitaani uliipata vipI?

Na je tenda hiyo ilitangazwa ili uweze kupata ushindani?
 
Back
Top Bottom