Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Khaa!!yani chama letu yanga ndio tumefulia mpaka tumemuweka dereva rehani hotelini?.......gosh!!
Nchunga pls chapa mwendo Mosha rudi utuokoe lol!
 
Nadhan umesahau pia kuwa yanga ndio inayoongoza kwa kufungwa goli 6-0 na mahasimu wao!!najua umepitiwa mwanarekodi nakukumbusha tu.
 
Huyu Nchunga anastahili kuchinjwa,haiwezekani tunafungwa kipigo cha aibu
 
Back
Top Bottom