Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
Nilifungwa 4-1Ulikutana na mtibwa imetoka kupoteza nini kilikupata?
Nimekaa na kuwaza Shem hivi African Lyon ni bora kuliko Biashara eee?Watu bana.
Utajua mwenyewe sasa.Nimekaa na kuwaza Shem hivi African Lyon ni bora kuliko Biashara?
Umefanya nimecheka Mtani. LolUtajua mwenyewe sasa.
Tunawajua mambo zenu yaani mnajua sana kununua wachezaji. 🤣Utajua mwenyewe sasa.
*Chukua*Tunawajua mambo zenu yaani mnajua sana kununua wachezaji. 🤣
Cc. Morison
Mnavyompaisha utadhania mchezaji wa maana kumbe umaarufu wake mwisho kwenye mipaka ya Tanzania tu nje ya hapo anaonekana mchezaji wa kawaida asiyevutia timu kubwa kumuhitaji.*Chukua*
*Tonombe*
*Kisinda*
*Carlinho kisha Saga kwenye brenda kwa dakika 20*
*Ongeza Fei toto *Mapinduzi Balamba na Sarpong kwa dakika 10*
*Ongeza na Nimenyoa na Senzo Saga kwa dakika 5 *<__>*UTAMPATA CLETUS CHAMA .
Yaani....Nimekaa na kuwaza Shem hivi African Lyon ni bora kuliko Biashara eee?
Huyo wa kunyanyasa timu ndogo. Mtibwa tu walimtoa nnya.Mnavyompaisha utadhania mchezaji wa maana kumbe umaarufu wake mwisho kwenye mipaka ya Tanzania tu nje ya hapo anaonekana mchezaji wa kawaida asiyevutia timu kubwa kumuhitaji.
Wanajisahaulisha tu shemela.Huyo wa kunyanyasa timu ndogo. Mtibwa tu walimtoa nnya.
Hivi hamnaga jezi za mzoezi au stock haijaisha[emoji1787][emoji23]JANA JIONI TIMU YA WANANCHI ILIENDELEA NA MAZOEZI KAMA KAWAIDA KUJIANDAA KUUTAFUNA MUA MUNGINE.
Huyu hafananii hata kuwa kocha[emoji23][emoji23]muandae ticket mapemaaa