Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

*Chukua*
*Tonombe*
*Kisinda*
*Carlinho kisha Saga kwenye brenda kwa dakika 20*
*Ongeza Fei toto *Mapinduzi Balamba na Sarpong kwa dakika 10*
*Ongeza na Nimenyoa na Senzo Saga kwa dakika 5 *<__>*UTAMPATA CLETUS CHAMA .
Mnavyompaisha utadhania mchezaji wa maana kumbe umaarufu wake mwisho kwenye mipaka ya Tanzania tu nje ya hapo anaonekana mchezaji wa kawaida asiyevutia timu kubwa kumuhitaji.
 
Mnavyompaisha utadhania mchezaji wa maana kumbe umaarufu wake mwisho kwenye mipaka ya Tanzania tu nje ya hapo anaonekana mchezaji wa kawaida asiyevutia timu kubwa kumuhitaji.
Huyo wa kunyanyasa timu ndogo. Mtibwa tu walimtoa nnya.
 
JANA JIONI TIMU YA WANANCHI ILIENDELEA NA MAZOEZI KAMA KAWAIDA KUJIANDAA KUUTAFUNA MUA MUNGINE.
20200923_074219.jpg
 
Back
Top Bottom