Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kama nilivyokumiss mimi aisee. Upoooo? Hebu nambie unagombea jimbo gani kwa chama gani nije nikupigie kampeni maana si kwa kukaa kimya hivyo. Kabda ya yote nijaalie hali yako kwa muhtasar Shadeeya🤪🤪🤪
Hahahaaa. Lol. Mie nipo mzima Alhamdilillah.

Uwiiiii!! Unajua tena michezo ya wajumbe sikutaka kuambulia kura siffurrri mimi. 🤣
 
Hahahaaa. Lol. Mie nipo mzima Alhamdilillah.

Uwiiiii!! Unajua tena michezo ya wajumbe sikutaka kuambulia kura siffurrri mimi. 🤣
Kweli kabisa mamii wajumbe kaa nao mbali kabisa😀😀😀
Bora uendelee kuipigia chapuo ile kaulimbiu yenu ya "Daima mbele nyuma mwiko"
 
KAMA KAWA MAZOEZI YANAENDELEA KWA TIMU YA WANANCHI.
20200925_074608.jpg
 
Back
Top Bottom