Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubiri tuone Mtani.Hiyo mechi itakuwa ndio mwanzo wa kazi ya Mwambusi kama kocha mkuu.
Zilatako atatupiwa vilago.
Doooh!!Ni hatari sana kujipa matumaini hewa Shadeeya, maana litakapowapata la kuwapata pale kwa Mkapa mtaona kama mmeonewa vilee.
Niko chini ya miguu yako mamii nakusihi sana ondoa mawazo ya hata kwamba mtalazimisha sare! Jiandae kisaikolojia kua mnachezea kichapo na kwasasa hadi siku hiyo mtafute mbinu za kupunguza idadi ya magoli mtayo bebeshwa
Usishangae Shadeeya ndio ukweli wenyewe huo🤪🤪🤪Doooh!!
Kwani ww umeiona hiyo page kwenye habari ya Simba??Hivi Mtani ujue inashangaza sana hivi mumekosa vya kupost vya Simba ambavyo vinamanufaa kwa timu yenu kweli? [emoji848][emoji848][emoji848]
Tembelea page ya Yanga kama utaona kuna story ka hizi. Lol.
Ww ndio unahitaj elimu ya kuweza tofautisha ipi page ya club ipi page ya shabikiElimu inahitajika zaidi Mtani ili kubadilika na kujua matumizi ya kurasa za mitandao ya kijamii hasa za Klabu.
Na hayo ni ya Yanga waachieni Yanga wenyewe. Teh
Mbona kama unanifokea sasa.Ww ndio unahitaj elimu ya kuweza tofautisha ipi page ya club ipi page ya shabiki
Mwanamitindo maarufu
Halafu nikwambie tu sinaga muda wa kufuatilia hizo page zenu mi nilivyoona imeandikwa Simba Tanzania nikajua ndo hiyo.Kwani ww umeiona hiyo page kwenye habari ya Simba??
Hakuna club inayoendesha page yake vyema kama Simba sport club kwa ukanda wetu huu, mwezi huu wa nane tumeshika namba moja bara la Africa kwa kua page yenye iliyotembelewa zaid ya mashabik, hii kwenu ni ndoto ambayo huenda isitimie kamwe
hiyo ni page ya digidigi mmoja tu sio page ya Simba
Hatujali.Mwanamitindo maarufu