Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sasa mnakubali vipi mwenzenu achukue 38,700.
Nyie mbaki na 1,300?[emoji16][emoji16][emoji16].
Lile nyomi la pale jangwani siku ya kutambulisha jezi tulijua hela mmachukua nyie kumbe mnamuuzia mwenzenu.
kweli kuwa uyaone.
KELELE NYINGI KUMBE ZERO

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kweli mashabiki wa mikia ni vilaza wa hali ya juu ndo maana aliyekua mwenyekiti wao ISMAIL RAGE aliwaita 'MBUMBUMBU'

Yanga anapata 1.3kTSH per jersey ni kutokana na logo ake kutumiwa katika hizo jersy,afu kingine, Mashabiki wa mikia wanatakiwa waelewe kua yanga hawahusiki na gharama zozote zinazohusisha hizo Jersey mpaka zinapokuja kuuzwa,

Hivyo basi kwa mantiki hiyo yanga anastahili kupata hiyo hela anayoipata
 
Halafu nikwambie tu sinaga muda wa kufuatilia hizo page zenu mi nilivyoona imeandikwa Simba Tanzania nikajua ndo hiyo.
Alafu mtaani huko kesho unasema simba walipost ?? ushahidi uliona screenshot?? haya
 
Kweli mashabiki wa mikia ni vilaza wa hali ya juu ndo maana aliyekua mwenyekiti wao ISMAIL RAGE aliwaita 'MBUMBUMBU'

Yanga anapata 1.3kTSH per jersey ni kutokana na logo ake kutumiwa katika hizo jersy,afu kingine, Mashabiki wa mikia wanatakiwa waelewe kua yanga hawahusiki na gharama zozote zinazohusisha hizo Jersey mpaka zinapokuja kuuzwa,

Hivyo basi kwa mantiki hiyo yanga anastahili kupata hiyo hela anayoipata
Simba inapata mil 300 na adds-on ambazo zinasogea hadi mil 500 kwa msimu kutokana na mauzo ya jezi

nyinyi muweze pata hiyo pesa GSM anatakiwa uza jezi zaid ya 450,000

ndoto ya mchana
 
Simba anapataa adds on!!? Nani kakudanganya?

Anyways msimu uliopita inakadiriwa yanga waliingiza 1.2b kutokana na mauzo ya jezi, likewise mwaka huu tuna expect over hiyo hela..

Come on you.. citizen
 
Kwani yanga wenyewe hawawezi kutengeneza hizo jezi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kweli mashabiki wa mikia ni vilaza wa hali ya juu ndo maana aliyekua mwenyekiti wao ISMAIL RAGE aliwaita 'MBUMBUMBU'

Yanga anapata 1.3kTSH per jersey ni kutokana na logo ake kutumiwa katika hizo jersy,afu kingine, Mashabiki wa mikia wanatakiwa waelewe kua yanga hawahusiki na gharama zozote zinazohusisha hizo Jersey mpaka zinapokuja kuuzwa,

Hivyo basi kwa mantiki hiyo yanga anastahili kupata hiyo hela anayoipata

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
ndio unatakiwa upate hiyo elimu sasa, ujue kutofautisha ipi ni Simba ipi sio Simba
Ntani sijioni kuwa muda wa kupoteza kuanza kupata elimu kwa vitu kama hivyo ambacho ukiangalia kwa upande wangu hakina faida.
 
Alafu mtaani huko kesho unasema simba walipost ?? ushahidi uliona screenshot?? haya
Kuwa mkweli ushawahi ona nimeongelea habari inayotoka kwenye page ya Simba humu.

Labda kwa Manara na Kigwangwala ndio huwa napitia pitia huko.
 
Kuwa mkweli ushawahi ona nimeongelea page ya Simba humu.

Labda kwa Manara na Kigwangwala ndio huwa napitia pitia huko.
Ndugu yangu Shadeeya kuwapa elimu mbumbumbu ni kazi sana,

Hapa kuna mbumbumbu Nampa tuition ya kua ni jinsi gani yanga anavyonufaika kutokana na mauzo ya jersey,lakini bado hanielewi.
 
Ila akila ugali akashiba, akatengeneza stamina ya kutosha kuweza kuhimili ligi ya TPL, naona kabisaa anakitu kwenye miguu yake, na kwamaana hiyo baadae atafaa kwa matumizi ya Mnyama, endeleeni kumuandaa na kumlea afikie viwango tunavyovihitaji🤪🤪🤪
Doohh!! Kumbe tunajuaga kuchagua eee? 😎
 
Simba anapataa adds on!!? Nani kakudanganya?

Anyways msimu uliopita inakadiriwa yanga waliingiza 1.2b kutokana na mauzo ya jezi, likewise mwaka huu tuna expect over hiyo hela..

Come on you.. citizen
Mkataba wa Simba vs aliekula kandarasa una kipengele hicho , ni between 300 to 500 mil..

Kwamba msimu jana mlikua na mauzo ya jezi zaid ya 1.1 mil???

Nani kakuloga???
 
Ndugu yangu Shadeeya kuwapa elimu mbumbumbu ni kazi sana,

Hapa kuna mbumbumbu Nampa tuition ya kua ni jinsi gani yanga anavyonufaika kutokana na mauzo ya jersey,lakini bado hanielewi.
Sawa manyani, mnabweka kama umbwa kwenye hesabu

Lucy adumu milele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani yanga wenyewe hawawezi kutengeneza hizo jezi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa hajielew kabisa, hajui hata lini GSM kaanza fanya nao kazi . ... [emoji38][emoji38][emoji38] anadhan wana miaka hapo, hajui ni mwaka huu huu , yani January hadi mwez wanne kwamba wameuza jezi 1.1mil [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Manyani will always be Manyani walai
 
Mkataba wa Simba vs aliekula kandarasa una kipengele hicho , ni between 300 to 500 mil..

Kwamba msimu jana mlikua na mauzo ya jezi zaid ya 1.1 mil???

Nani kakuloga???
Boss fanya ufuatilie,yanga aliingiza zaidi ya 1.2B kutokana na mauzo ya jezi..
 
Back
Top Bottom