Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huyo jamaa hajielew kabisa, hajui hata lini GSM kaanza fanya nao kazi . ... [emoji38][emoji38][emoji38] anadhan wana miaka hapo, hajui ni mwaka huu huu , yani January hadi mwez wanne kwamba wameuza jezi 1.1mil [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Manyani will always be Manyani walai
GSM kaanza kutengeneza jezi kuanzia msimu uliopita boss..

Punguza presha boss..
 
GSM kaanza kutengeneza jezi kuanzia msimu uliopita boss..

Punguza presha boss..
club yenye card za wanachama chini elfu 20,000

ifanye mauzo ya jezi za wachezaj zaid ya mil 1.1, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kibaya zaid, hakuna msimu yanga imekua mbovu kama last season kwa zaid ya miaka 10 iliyopita
 
Ukishaona mtu anatumia kauli kali ujue lengo ni kukufunga mdomo usiuseme ukweli.

#AchananaoMkuu.
Shadeeya, uachege unafiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] , yeye akisema Mbumbumbu sio kauli kali, ila nyie mkiitwa Manyani, mnabweka kama ubwa ni kauli kali sip?? mkuki kwa nguruwe
 
Bora sisi tuliambiwa na Luc ambaye alikua mpita njia..

Nyinyi mliambiwa na mwenyekiti wenu.
Yes yes, he saw Nyani na umbwa za kutosha , punguza kubweka basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
club yenye card za wanachama chini elfu 20,000

ifanye mauzo ya jezi za wachezaj zaid ya mil 1.1, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kibaya zaid, hakuna msimu yanga imekua mbovu kama last season kwa zaid ya miaka 10 iliyopita
Kwahyo jersey wananunua tu wanachama?
 
Boss fanya ufuatilie,yanga aliingiza zaidi ya 1.2B kutokana na mauzo ya jezi..
Ni Manyani only can do this Math [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

over 1.1mil Jersey [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lol!! Unafiki huo veeepeeeee.

Dooh!! Hivi mbumbumbu , Manyani , Ubwa vinafanana? [emoji15]
Mbumbumbu.. you are challenging someone else brain capacity .. it's even worse than Manyani and Umbwa combined

so vumilia tu au usiite mtu mbumbumbu, ukiita tegemea jibu hilo hilo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], inaitwa jino kwa jino
 
Ni Manyani only can do this Math [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

over 1.1mil Jersey [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa ubora na uzuri wa jersey za yanga za mwaka Jana so mashabiki tu wa yanga walionunua,hata nyie mikia pia mlinunua,

Afu kingine acha kukariri kua jersey hununuliwa na washabiki wa mpira pekee.
 
Mbumbumbu.. you are challenging someone else brain capacity .. it's even worse than Manyani and Umbwa combined

so vumilia tu au usiite mtu mbumbumbu, ukiita tegemea jibu hilo hilo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38], inaitwa jino kwa jino
BTW unavyoniita nyani me siteseki,ila ninachojua wazungu wanawaitaga 'negros' nyani kutokana na appearance yao kufanana na nyani..

Kwahyo luc alituita nyani kutokana na appearance yetu ilivo,so kabla ya kumuita mtu nyani hakikisha na wewe usiwe nyani(yani uwe mzungu)
 
Kwahyo jersey wananunua tu wanachama?
Na mashabiki wa simba, azam, mtibwa, ihefu, lipuli, coastal, kagera, mbeya city, kmc nk nk no

wote wananunua [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

hizi jezi zinazokuja zinauzwa ndani ya maduka mawil zinaisha siku mbili mtu anasema wanapewa 1.2bil

achen masikhara nyie utopolo

nyinyi mnachukua 1300 kwa jezi.. wale watu wa maduka wanachukua 5000 kwa jez

wao watakua wameingiza bei gani?? ukipiga hesabu hapo ni Bil 5?? Kwamba shafii na Sandaland wameingiza bil 5?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kama hapo taifa watu elfu 60 hua panafunguliwa tokea asubuh na bado watu wanakaa kwenye folen masaa ya kutosha, hapo kwa shafii ungekaa foleni mwezi mzima ndio upate jezi
 
BTW unavyoniita nyani me siteseki,ila ninachojua wazungu wanawaitaga 'negros' nyani kutokana na appearance yao kufanana na nyani..

Kwahyo luc alituita nyani kutokana na appearance yetu ilivo,so kabla ya kumuita mtu nyani hakikisha na wewe usiwe nyani(yani uwe mzungu)
Manyani , acha kubweka kama umbwa basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom