Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Haha niko Vyedi 💪Mtani nauliza unaumwa? 🙄🙄🙄
Kagera ni tawi lenu lile miaka yote, wewe subiri tu kulishwa miwa na vijana wa Tobiasi Kifaru.Na jumapili mujiandae kwa sapuraizzz kama lile tulilomfanyia Kagera.
Siku ile ya Kagera nyota wa mchezo kwa upande wa Yanga alikua si mwingine bali ni refariiNa jumapili mujiandae kwa sapuraizzz kama lile tulilomfanyia Kagera.
Kuumbe!! 🤔🤔Siku ile ya Kagera nyota wa mchezo kwa upande wa Yanga alikua si mwingine bali ni refarii
Walivyotufunga 3 taifa wala hatukuyasikia haya.Kagera ni tawi lenu lile miaka yote, wewe subiri tu kulishwa miwa na vijana wa Tobiasi Kifaru.
Wape salaam.
Habari ndio hiyo bibie🤪Kuumbe!! 🤔🤔
Halafu mbibi mimi nimekumisi sana mbabu wewe. 🙈Habari ndio hiyo bibie🤪
Tulishasema mtakuwa sana wachambuzi mwaka huu.Habari ndio hiyo bibie🤪
Uzuri teknolojia haiongopi Shadeeya, mambo yote hadharani siku hizi. Ingekua Chura FC ndio walinyimwa ile penati kelele zake tusinge sikilizanaTulishasema mtakuwa sana wachambuzi mwaka huu.
Kama nilivyokumiss mimi aisee. Upoooo? Hebu nambie unagombea jimbo gani kwa chama gani nije nikupigie kampeni maana si kwa kukaa kimya hivyo. Kabda ya yote nijaalie hali yako kwa muhtasar Shadeeya🤪🤪🤪Halafu mbibi mimi nimekumisi sana mbabu wewe. 🙈
Kwema?
Hahaa kumbe walimifunga 3?Walivyotufunga 3 taifa wala hatukuyasikia haya.
Hahahaaa. Lol. Mie nipo mzima Alhamdilillah.Kama nilivyokumiss mimi aisee. Upoooo? Hebu nambie unagombea jimbo gani kwa chama gani nije nikupigie kampeni maana si kwa kukaa kimya hivyo. Kabda ya yote nijaalie hali yako kwa muhtasar Shadeeya🤪🤪🤪
Lol.Hahaa kumbe walimifunga 3?
Kweli kabisa mamii wajumbe kaa nao mbali kabisa😀😀😀Hahahaaa. Lol. Mie nipo mzima Alhamdilillah.
Uwiiiii!! Unajua tena michezo ya wajumbe sikutaka kuambulia kura siffurrri mimi. 🤣