Naona Manyani kwenye ubora wenu kubweka kama umbwaHata wakala wa uhlsport hamjui,angemjua ni nani asingeleta kelele za khs jezi za mikia
Kd msanii tu,ndio mwizi namba 1 wa kuwaibia vilabu kwenye jezi,miaka mingi sana anafanya michezo,hawa gsm ndio wamekua kikwazo hivi karibuni upande wa jezi za Yanga,pale mkiani issue ya jezi anacheza na fos now,sasa mtu anakuja hapa anajigamba kabisa na uhl!!Ndio namuuliza Simba inamkataba na uhlsport au na kassim dewji ? anajua kilichomo ktk huo mkataba ?
au anajua lolote kuhusu hii mikataba miwili utofauti wake
Wewe ndio nyani na story zako za kwenye vijiwe vya kahawa eti mikia wanapata m 300 na adds m 500 kwenye jezi!Naona Manyani kwenye ubora wenu kubweka kama umbwa
Mbona ilitangazwa rasmi broWewe ndio nyani na story zako za kwenye vijiwe vya kahawa eti mikia wanapata m 300 na adds m 500 kwenye jezi!
Fos ndio uhl,hao ni wezi tuMbona ilitangazwa rasmi bro
Ni utofauti tu wa mikataba, kwa sababu Yanga pamoja na asilimia ya mauzo anapata 200m kuweka chapa na nje ya mkataba kuna kambi na usafiri.Naona Manyani kwenye ubora wenu kubweka kama umbwa
Ahsante kwa majibu yakoMbona unakua kiaz sana mzee.. how many times nimeandika mkataba una mil 300 kwa mwaka na adds-on hadi mil 500??
nimeandika Zaid ya mara tano humu ndani leo, au ulikua umefariki?
Na ndio maana baadhi ya vilabu vilimkataa ,vikaamua kuvaa za kwaoKd msanii tu,ndio mwizi namba 1 wa kuwaibia vilabu kwenye jezi,miaka mingi sana anafanya michezo,hawa gsm ndio wamekua kikwazo hivi karibuni upande wa jezi za Yanga,pale mkiani issue ya jezi anacheza na fos now,sasa mtu anakuja hapa anajigamba kabisa na uhl!!
HahahahaWewe ndio nyani na story zako za kwenye vijiwe vya kahawa eti mikia wanapata m 300 na adds m 500 kwenye jezi!
Hahahaha, niliuliza hapo juu anajua utofauti ya hy mikataba anakuja kuita watu viaziNi utofauti tu wa mikataba, kwa sababu Yanga pamoja na asilimia ya mauzo anapata 200m kuweka chapa na nje ya mkataba kuna kambi na usafiri.
On top of that, kuna deal ya merchandise. Hii ni hybrid deal yaani kuna fixed value pamoja na percentage ya mauzo na nadhani ni deal nzuri kama Yanga itaza jerseys laki moja, itapata 150 mil, plus sponsorship.
Hapo hakuna lililoharibika.
ooh okNi utofauti tu wa mikataba, kwa sababu Yanga pamoja na asilimia ya mauzo anapata 200m kuweka chapa na nje ya mkataba kuna kambi na usafiri.
On top of that, kuna deal ya merchandise. Hii ni hybrid deal yaani kuna fixed value pamoja na percentage ya mauzo na nadhani ni deal nzuri kama Yanga itaza jerseys laki moja, itapata 150 mil, plus sponsorship.
Hapo hakuna lililoharibika.
Wakati inatangazwa ulikua umefariki, umeshindwa hata kuingia YouTube au google kuangaliaWewe ndio nyani na story zako za kwenye vijiwe vya kahawa eti mikia wanapata m 300 na adds m 500 kwenye jezi!
Mzee baba, nikusaidie kunyoosha maelezoNi utofauti tu wa mikataba, kwa sababu Yanga pamoja na asilimia ya mauzo anapata 200m kuweka chapa na nje ya mkataba kuna kambi na usafiri.
On top of that, kuna deal ya merchandise. Hii ni hybrid deal yaani kuna fixed value pamoja na percentage ya mauzo na nadhani ni deal nzuri kama Yanga itaza jerseys laki moja, itapata 150 mil, plus sponsorship.
Hapo hakuna lililoharibika.
Linahusiana nini na mkataba wa Uhlsport vs Simba ?? Kwasababu pengine ana historia yake so we shouldn't say club ilicho kubaliana na Uhlsport??Kd msanii tu,ndio mwizi namba 1 wa kuwaibia vilabu kwenye jezi,miaka mingi sana anafanya michezo,hawa gsm ndio wamekua kikwazo hivi karibuni upande wa jezi za Yanga,pale mkiani issue ya jezi anacheza na fos now,sasa mtu anakuja hapa anajigamba kabisa na uhl!!
Hebu hukooo!!! 😎Kila la kheri timu yangu ya utotoni Mtibwa Sugar chapa hawa Utopolo bao 1.
Dooh!! Baadae kuwa karibu na twiviii yako uone vile nini kitampata.Mtibwa nawategemea kesho.