Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ndio namuuliza Simba inamkataba na uhlsport au na kassim dewji ? anajua kilichomo ktk huo mkataba ?

au anajua lolote kuhusu hii mikataba miwili utofauti wake
Kd msanii tu,ndio mwizi namba 1 wa kuwaibia vilabu kwenye jezi,miaka mingi sana anafanya michezo,hawa gsm ndio wamekua kikwazo hivi karibuni upande wa jezi za Yanga,pale mkiani issue ya jezi anacheza na fos now,sasa mtu anakuja hapa anajigamba kabisa na uhl!!
 
Naona Manyani kwenye ubora wenu kubweka kama umbwa
Ni utofauti tu wa mikataba, kwa sababu Yanga pamoja na asilimia ya mauzo anapata 200m kuweka chapa na nje ya mkataba kuna kambi na usafiri.
On top of that, kuna deal ya merchandise. Hii ni hybrid deal yaani kuna fixed value pamoja na percentage ya mauzo na nadhani ni deal nzuri kama Yanga itaza jerseys laki moja, itapata 150 mil, plus sponsorship.
Hapo hakuna lililoharibika.
 
Kd msanii tu,ndio mwizi namba 1 wa kuwaibia vilabu kwenye jezi,miaka mingi sana anafanya michezo,hawa gsm ndio wamekua kikwazo hivi karibuni upande wa jezi za Yanga,pale mkiani issue ya jezi anacheza na fos now,sasa mtu anakuja hapa anajigamba kabisa na uhl!!
Na ndio maana baadhi ya vilabu vilimkataa ,vikaamua kuvaa za kwao
KMC,lipuli,Azam,kagera ,mtibwa
 
Ni utofauti tu wa mikataba, kwa sababu Yanga pamoja na asilimia ya mauzo anapata 200m kuweka chapa na nje ya mkataba kuna kambi na usafiri.
On top of that, kuna deal ya merchandise. Hii ni hybrid deal yaani kuna fixed value pamoja na percentage ya mauzo na nadhani ni deal nzuri kama Yanga itaza jerseys laki moja, itapata 150 mil, plus sponsorship.
Hapo hakuna lililoharibika.
Hahahaha, niliuliza hapo juu anajua utofauti ya hy mikataba anakuja kuita watu viazi
 
Ni utofauti tu wa mikataba, kwa sababu Yanga pamoja na asilimia ya mauzo anapata 200m kuweka chapa na nje ya mkataba kuna kambi na usafiri.
On top of that, kuna deal ya merchandise. Hii ni hybrid deal yaani kuna fixed value pamoja na percentage ya mauzo na nadhani ni deal nzuri kama Yanga itaza jerseys laki moja, itapata 150 mil, plus sponsorship.
Hapo hakuna lililoharibika.
ooh ok
 
Mzee baba, nikusaidie kunyoosha maelezo

Hapa umezungumza mikataba miwili , na ukaongeza jambo ambalo hujui limetokea wapi, naweka kumbukumbu sawa

Yanga na GSM mkataba wenu wa Jersey Yanga itapata 1300 tu kwa kila Jersey, lakn pia GSM atatakiwa kukarabati Jengo lenu, hili swala la maduka sio sehemu ya mkataba, ni mambo tu aliyomua kufanya, hakuna pesa inayotulewa hapa "200mil" (i stand to be corrected) ni Maneno ya mwenyekiti wenu Sept 2 mwaka jana

Mkataba mwingine ni mkataba kati ya Yanga na Godoro chapa GSM , huu una thamani ya 150mil kwa mwaka , ni mikataba miwili tofaut hiyo sio mmoja

Kwenye mkataba wa Jersey, mwenyekiti alikua na projections ya mauzo ya jezi yawe mil 1 kwa msmu ili club ipate 1.3 B

kitu ambacho kishakua ndoto tayari
 
Kd msanii tu,ndio mwizi namba 1 wa kuwaibia vilabu kwenye jezi,miaka mingi sana anafanya michezo,hawa gsm ndio wamekua kikwazo hivi karibuni upande wa jezi za Yanga,pale mkiani issue ya jezi anacheza na fos now,sasa mtu anakuja hapa anajigamba kabisa na uhl!!
Linahusiana nini na mkataba wa Uhlsport vs Simba ?? Kwasababu pengine ana historia yake so we shouldn't say club ilicho kubaliana na Uhlsport??

mbona unaleta sababu za ki layman kabisa bro, ungesema pesa hazikulipwa pengine ungeleeweka na sio huo utopolo ulio andika hapo
 
20200927_102909.jpg
 
Back
Top Bottom