😂😂 Yaani tunaangusha 1 moja tu.Cha PIG [emoji23][emoji23],Daima Mbele.!
Ktk hilo Mimi ni nani hadi nikatae!?Nimemsikia mchambuzi anasema Carlinhos ni SPECIALIST wa dead balls. Lol.
Hizo bahqti haziwapati wengine? Kwanini sisi tu? [emoji23][emoji23][emoji23]Hongereni
Bahati imekua upande wenu michezo mitatu sasa mnatembelea nyota
Tatizo la Yanga halikuwa beki.. kule mbele wapowapo tu.Beki line ya yanga wangeipata simba ingekua timu tishio sana
Hao hao wazee Mechi ya mwisho walikulisha 4g sijui tar 18 utakula ngapiYaani bado una ujasiri Wa kutupigia kelele na vile vizee vyako vikina Mzee kretusi
🤣🤣Ktk hilo Mimi ni nani hadi nikatae!?
Hawachelewi kuanza kashfa na kusahau kwamba mpira ni furaha na sio uadui. 🤣🤣🤣Hawa mikia tuwaache na mboyoyo zao, mwishoni wataishiwa maneno..
Sema The MVP Clatous Chota Chama.Yaani bado una ujasiri Wa kutupigia kelele na vile vizee vyako vikina Mzee kretusi
Tatizo la Yanga halikuwa beki.. kule mbele wapowapo tu.
Hahahaha, wame hesabu alama 3 ila mpira km mpira naona badoHongereni uto.. katika butuabutua mkapata goli.
Wanamsubiria jamaa mmoja anaitwa MuunganikoHahahaha, wame hesabu alama 3 ila mpira km mpira naona bado
Hahahaha, huku ligi inaendelea ,nWanamsubiria jamaa mmoja anaitwa Muunganiko
Vipi nyie wapiga pasi mbona mlikua mnaomba mpira uishe pale?Hongereni uto.. katika butuabutua mkapata goli.
Niwajinga sana, kama wanahamu ya kutukana na kutoa kashfa waende kwenye jukwaa lao la mikia fc. Hizi kashfa na matusi kila mtu anaweza, tukiamua kwa umoja wetu kama mashabiki wa Yanga tuliomo humu wataweza kuvumilia??Hawachelewi kuanza kashfa na kusahau kwamba mpira ni furaha na sio uadui. 🤣🤣🤣
Sa sijui kukashifu ndo magoli yanarudi?🤣🤣🤣
Asante kwa kutambua aina ya soka letu.Vipi nyie wapiga pasi mbona mlikua mnaomba mpira uishe pale?