Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200927_183909.jpg
 
Hawachelewi kuanza kashfa na kusahau kwamba mpira ni furaha na sio uadui. 🤣🤣🤣

Sa sijui kukashifu ndo magoli yanarudi?🤣🤣🤣
Niwajinga sana, kama wanahamu ya kutukana na kutoa kashfa waende kwenye jukwaa lao la mikia fc. Hizi kashfa na matusi kila mtu anaweza, tukiamua kwa umoja wetu kama mashabiki wa Yanga tuliomo humu wataweza kuvumilia??
 
Back
Top Bottom