Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

strikers wenu nashindwa kuwaelewa kabisa, wasipobadilika mtazidi kuteseka mioyon mwenu
 
Kagoli kenyewe kamoja kama ka dawa. Mngekua na uwezo wa kupiga 4G kama zile tulizo wazawadia kwenye kombe la shirikisho watu tungekunywa hata maji kweli!!!?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kwani mechi ya mwisho Ligi Kuu kati ya sisi na wewe tumekufunga ngapi si moja tu ambalo maumivu yake hayajafutika mpaka leo.

Maji ulikunywa siku ile? 😎😎😎
 
Kwani mechi ya mwisho Ligi Kuu kati ya sisi na wewe tumekufunga ngapi si moja tu ambalo maumivu yake hayajafutika mpaka leo.

Maji ulikunywa siku ile? 😎😎😎
Hiyo ni mechi ya kale bana, ya karibuni ni ile ya 4GπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ila mashabiki wa Chura FC acheni uhuni wa kishamba wa kushambulia mashabiki wa SSC. Kumbukeni na hao pia wanapokuja kutazama mechi zenu wanasaidia kuchangia mapato yenu
Daah!! Kunijumuisha humo ni sawa na kunionea ujue?

Mapato hayo kwa watu watano sijui sita? 😳 wangekuwa kilichowapeleka ni kuongeza mapato wangetulizana pale walipokuwa wamekaa mwanzo na sio kuhangaika kama wafanyabiashara.
 
Najua wewe huwezi hata kufikiria kufanya fujo kama zile kwani ustaarabu na uadilifu wako si wakutiliwa shaka hata kidogo Shadeeya. Ila ulitakiwa kukemea tabia ile kwa kinywa kipana, bila kusita wala kuyumba

Mbona Lunyasi ndio hua wanajaa kwenye uwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…