Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Update ni habari ya makamu wetu Mwenyekiti juu ya ubatili Wa mkataba Wa Simba na Mzee Morrison na kudai haki ya ninyi simba kupokwa pointi za Michezo yote alocheza bwana Mzee Morrison
 
Mchambuzi mahiri George Ambangile wa Wasafi Radio amekataa kabisa kuzungumzia statement ya Yanga akisema ni upotezaji wa muda kuzungumzia mtu mmoja muda woote wakati kuna timu kumi na nane za kuziongealea na huku ligi kuu imeshafika round ya nne!
Wengine wataongelea. Mpira ni biashara kubwa na hakuna watu wanaotaka kusikia habari za Ihefu au Dodoma jiji.
 
Mchambuzi mahiri George Ambangile wa Wasafi Radio amekataa kabisa kuzungumzia statement ya Yanga akisema ni upotezaji wa muda kuzungumzia mtu mmoja muda woote wakati kuna timu kumi na nane za kuziongealea na huku ligi kuu imeshafika round ya nne!
Yuki sahihi, huyu jamaa ndio maana anasifiwa Sana km mchambuzi bora Tanzania kwa sasa
 
Update ni habari ya makamu wetu Mwenyekiti juu ya ubatili Wa mkataba Wa Simba na Mzee Morrison na kudai haki ya ninyi simba kupokwa pointi za Michezo yote alocheza bwana Mzee Morrison
Ila bana Bro mi naona hizi mambo kama zinaturudisha nyuma tu saa hii badala ya sisi kuangalia mengine tunamzungumzia mtu mmoja kila leo. Khaaa.

Mie nadhani wangefanya kimya kimya saa hii tukaelekeza nguvu zetu kwenye VPL.
 
Nadhani TFF within 24hrs ilipaswa kujibu hili swala, nitashangaa sana leo kama itavuka hawajasema kitu
 
Upo sahihi kabisa Shadeeya. Kila siku jambo hilohilo kama vile mchezaji ni mmoja tu
 
Nadhani TFF within 24hrs ilipaswa kujibu hili swala, nitashangaa sana leo kama itavuka hawajasema kitu
Yaan ikipita siku ya leo bila majibu kutoka tff, aisee utakuwa ujinga wa kiwango cha lami, kila siku Morrison km kwamba ndio Ronaldo au messi hapa Tz
 
TFF wamechafuka huko, naona wanaikomoa Yanga sasa kwa kufungia mashabiki na kutozwa faini zisizo na mashiko[emoji23]
 
KIKOSI CHA TIMU YA WANANCHI JANA JIONI NA MAZOEZI KAMA KAWAIDA KUJIANDAA NA MCHEZO DHIDI YA COASTAL HAPO 19:00HRS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…