kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
n
no update uanga bwana hamjiaminoMambo vipi Shadeeya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
no update uanga bwana hamjiaminoMambo vipi Shadeeya?
Hili suala bado linaendelea tu ?Update ni habari ya makamu wetu Mwenyekiti juu ya ubatili Wa mkataba Wa Simba na Mzee Morrison na kudai haki ya ninyi simba kupokwa pointi za Michezo yote alocheza bwana Mzee Morrison
Mchambuzi mahiri George Ambangile wa Wasafi Radio amekataa kabisa kuzungumzia statement ya Yanga akisema ni upotezaji wa muda kuzungumzia mtu mmoja muda woote wakati kuna timu kumi na nane za kuziongealea na huku ligi kuu imeshafika round ya nne!Hili suala bado linaendelea tu ?
Wengine wataongelea. Mpira ni biashara kubwa na hakuna watu wanaotaka kusikia habari za Ihefu au Dodoma jiji.Mchambuzi mahiri George Ambangile wa Wasafi Radio amekataa kabisa kuzungumzia statement ya Yanga akisema ni upotezaji wa muda kuzungumzia mtu mmoja muda woote wakati kuna timu kumi na nane za kuziongealea na huku ligi kuu imeshafika round ya nne!
Yuki sahihi, huyu jamaa ndio maana anasifiwa Sana km mchambuzi bora Tanzania kwa sasaMchambuzi mahiri George Ambangile wa Wasafi Radio amekataa kabisa kuzungumzia statement ya Yanga akisema ni upotezaji wa muda kuzungumzia mtu mmoja muda woote wakati kuna timu kumi na nane za kuziongealea na huku ligi kuu imeshafika round ya nne!
Sijambo Mtani. Haya za kuadimika?Mambo vipi Shadeeya?
Ila bana Bro mi naona hizi mambo kama zinaturudisha nyuma tu saa hii badala ya sisi kuangalia mengine tunamzungumzia mtu mmoja kila leo. Khaaa.Update ni habari ya makamu wetu Mwenyekiti juu ya ubatili Wa mkataba Wa Simba na Mzee Morrison na kudai haki ya ninyi simba kupokwa pointi za Michezo yote alocheza bwana Mzee Morrison
Nadhani TFF within 24hrs ilipaswa kujibu hili swala, nitashangaa sana leo kama itavuka hawajasema kituIla bana Bro mi naona hizi mambo kama zinaturudisha nyuma tu saa hii badala ya sisi kuangalia mengine tunamzungumzia mtu mmoja kila leo. Khaaa.
Mie nadhani wangefanya kimya kimya saa hii tukaelekeza nguvu zetu kwenye VPL.
Upo sahihi kabisa Shadeeya. Kila siku jambo hilohilo kama vile mchezaji ni mmoja tuIla bana Bro mi naona hizi mambo kama zinaturudisha nyuma tu saa hii badala ya sisi kuangalia mengine tunamzungumzia mtu mmoja kila leo. Khaaa.
Mie nadhani wangefanya kimya kimya saa hii tukaelekeza nguvu zetu kwenye VPL.
Hahahaha, mpk keroUpo sahihi kabisa Shadeeya. Kila siku jambo hilohilo kama vile mchezaji ni mmoja tu
Sijaadimika Shadeeya nipo.Sijambo Mtani. Haya za kuadimika?
Nilikuwa nataka nikuanzishie uzi wa kukusaka. 🤣🤣 Lol
Ooh!! Na mie nipo Mtani.Sijaadimika Shadeeya nipo.
Nimekuja hapa kuhakikisha Yanga inafungwa na Coastal Union hapo kesho kwa Mkapa. 🏇🏇
Yaan ikipita siku ya leo bila majibu kutoka tff, aisee utakuwa ujinga wa kiwango cha lami, kila siku Morrison km kwamba ndio Ronaldo au messi hapa TzNadhani TFF within 24hrs ilipaswa kujibu hili swala, nitashangaa sana leo kama itavuka hawajasema kitu
TFF wamechafuka huko, naona wanaikomoa Yanga sasa kwa kufungia mashabiki na kutozwa faini zisizo na mashiko[emoji23]Yaan ikipita siku ya leo bila majibu kutoka tff, aisee utakuwa ujinga wa kiwango cha lami, kila siku Morrison km kwamba ndio Ronaldo au messi hapa Tz