Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kufukuzwa kwa huyu kocha kutaibadili sana timu yetu na hatimae tutaanza kushinda kwa kuburudika pia. Hata Mikia Naamini wataiona impact ya kufukuzwa kwa huyu mwalimu!
Ila Bro inategemea ni nani ataletwa badala ya? Hawakawii kuleta garasa lingine. ๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Hivi Ses uliweza kuzisubiria hizo za mwamuzi au ndo ukaishia njiani?๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Dah! Mmeona mwezi juzi. Sijui half time mlienda kufanya fitina gani mpaka Wagosi wakaachia!!! Yaelekea mnajua mnashinda kwa mbinu gani ndio maana hata kocha mmemtimua pamoja na kushinda hizo bao tatu๐Ÿคช๐Ÿคฃ๐Ÿคช
 
Yeah,nadhani ndiye anakuja
 
Dah! Mmeona mwezi juzi. Sijui half time mlienda kufanya fitina gani mpaka Wagosi wakaachia!!! Yaelekea mnajua mnashinda kwa mbinu gani ndio maana hata kocha mmemtimua pamoja na kushinda hizo bao tatu๐Ÿคช๐Ÿคฃ๐Ÿคช
Siku zote akishinda Yanga haya tunayatarajia hivyo sema uwezavyo Ses kikubwa sisi tumepata points 3.
 
Hebu nambie kwanza Shadeeya japo kwa sauti ya chini Wananchi wenzako wasisikie. Ulicheki mechi ya jana iliyopigwa pale Jamhuri Dodoma? Unalionaje soka la Lunyasi hasa tunapoelekea tarehe 18?

Msema kweli mpenzi wa Mungu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Uuwiiii!! Nilikuwa busy na mambo zangu hata sijui nini kiliendelea.

Matokeo yalikuwaje kwani? ๐Ÿ˜Ž
 
๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ

Wee kimbia kimbia tu, ila hiyo tarehe 18 nikikukamattttttaaaaaaa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hahahahaa. Siku hiyo ntakuja huko Duniani na tutaangalia wote ili tu nione vile huezi kaa kwenye kiti. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.

Najiamini atiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ