Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Bro inategemea ni nani ataletwa badala ya? Hawakawii kuleta garasa lingine. 🙁🙁Kufukuzwa kwa huyu kocha kutaibadili sana timu yetu na hatimae tutaanza kushinda kwa kuburudika pia. Hata Mikia Naamini wataiona impact ya kufukuzwa kwa huyu mwalimu!
Dah! Mmeona mwezi juzi. Sijui half time mlienda kufanya fitina gani mpaka Wagosi wakaachia!!! Yaelekea mnajua mnashinda kwa mbinu gani ndio maana hata kocha mmemtimua pamoja na kushinda hizo bao tatu🤪🤣🤪Hivi Ses uliweza kuzisubiria hizo za mwamuzi au ndo ukaishia njiani?😅😅😅
Yeah,nadhani ndiye anakujaAisee!! Sasa tulimsajili wa nini kuharibu pesa tu sababu za chini chini nasikia yule Cedrik Kaze ambaye mwanzoni ndo alitajwa sana baadae wakasema ana matatizo ya kifamilia ndo inasemekana anaeza kuja huyo.
Sa sijui ilishindikana vipi kumsubiria ikiwa ndo huyo anatajwa now.
Siku zote akishinda Yanga haya tunayatarajia hivyo sema uwezavyo Ses kikubwa sisi tumepata points 3.Dah! Mmeona mwezi juzi. Sijui half time mlienda kufanya fitina gani mpaka Wagosi wakaachia!!! Yaelekea mnajua mnashinda kwa mbinu gani ndio maana hata kocha mmemtimua pamoja na kushinda hizo bao tatu🤪🤣🤪
Tusubiri tuone japo uongozi unazingua saa ingine.Yeah,nadhani ndiye anakuja
Kocha magumashi aseeUko vizuri Mkuu. Japo goli ziligoma first half ila second half zikamiminika.
Hivi kwa nini Niyonzima haanzishwagi jamani?
Hebu nambie kwanza Shadeeya japo kwa sauti ya chini Wananchi wenzako wasisikie. Ulicheki mechi ya jana iliyopigwa pale Jamhuri Dodoma? Unalionaje soka la Lunyasi hasa tunapoelekea tarehe 18?Siku zote akishinda Yanga haya tunayatarajia hivyo sema uwezavyo Ses kikubwa sisi tumepata points 3.
Kweli ngoja tuoneIla Bro inategemea ni nani ataletwa badala ya? Hawakawii kuleta garasa lingine. 🙁🙁
Mkuu kocha magumashi wakati kampiga mtu thalathaa? Au mnataka kuhalalisha ujio wa Kaze Cedric? Mleteni tu bila kumchafulia jina Mzungu wa watu🤣🤣🤣Kocha magumashi asee
Tumsubirie mpya naye tuone Kikosi chake kitakuwaje.Kocha magumashi asee
GSM &GSMTangia lini Coastal akawa toto la Yanga? 😳😳
Uuwiiii!! Nilikuwa busy na mambo zangu hata sijui nini kiliendelea.Hebu nambie kwanza Shadeeya japo kwa sauti ya chini Wananchi wenzako wasisikie. Ulicheki mechi ya jana iliyopigwa pale Jamhuri Dodoma? Unalionaje soka la Lunyasi hasa tunapoelekea tarehe 18?
Msema kweli mpenzi wa Mungu🤣🤣🤣
🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️Uuwiiii!! Nilikuwa busy na mambo zangu hata sijui nini kiliendelea.
Matokeo yalikuwaje kwani? 😎
Sina. 😬Una lingine Mtani?
We jamaa haujui mpira GSM ana huska nini hapo, mbona huongeli sportpesa au team zinazo vaa Fly Emirates hua zina achiana game?GSM &GSM
Ni wewe tu ndio hukuwepo. 😝😀😀😀 Hivi saa goli zinafungwa wale vyafujo walikuwepo kweli hapa jukwaani au ndo walishasepa 😀😀
Cc. Troisième Ceil
Uwiii!! Mi Muhindi akibana huwa sina jinsi zaidi ya kukaa mbali na simu. 😂😂😂Ni wewe tu ndio hukuwepo. 😝
Hahahahaa. Siku hiyo ntakuja huko Duniani na tutaangalia wote ili tu nione vile huezi kaa kwenye kiti. 😀😀😀.🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Wee kimbia kimbia tu, ila hiyo tarehe 18 nikikukamattttttaaaaaaa😀😀😀😀
Kama nawoana mlivyoudhika baada ya mzungu kusepa kimya kimya bila kuwapa neno jipya. Teh.Mkuu kocha magumashi wakati kampiga mtu thalathaa? Au mnataka kuhalalisha ujio wa Kaze Cedric? Mleteni tu bila kumchafulia jina Mzungu wa watu🤣🤣🤣
Cc Shadeeya