Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Ni hakika hata huyo ajae hatodumu

Yanga mmewah kua na falsa ya kuweka mpira chini kweli?? hamna identity yenu uwanjani, na endapo mtataka kua nayo haiji hvi hivi tu, tengenezen timu kwanza, tafuta watu wa kuweza kukupa hiyo identity, Mna Haruna pekee probably na Tonombe, ndio wenye vitu hvyo, ongezen aina hiyo ya wachezaj na maeneo mengine, hivi hiv ni uongo
Mkuu identity yetu ni wings zifanye kazi zaidi sasa hadi sasa wings zimeengeneza nafasi ngapi za wazi? Tuna winga wawili Wa nguvu Farid na Tuisila cha ajabu kila mechi ya ushindani mwalimu anampanga Fernandez winga ilihali hana nguvu,hana speed na hasaidii defense. Na hata kupitia hyo identity yetu bado huwa tunatengeneza nafasi vizuri tu toka kati sasa Leo kila kitu hakiwezekani na mwalimu kakaa na timu kwa mwezi mzima hakuna hata dalili ya mwangaza!?
 
Kama WACHEZAJI wazuri mbona kocha kafukuzwa?
Kwani ukimuuliza leo Sven aliagiza Morrison asajiliwe wakati ana Kahata benchi, Ajibu benchi atakujibu nini???? Ifike muda tumia akili badala ya makamasi. Wachezaji waliopo ni bora sana tu. Sio kila mchezaji lazima apendekezwe na kocha..... Zahera alisajili akina Sadney, Sibomana, Bigirimana walifanya nini??.?
 
Kama ni hivyo basi alipaswa awe ameshafika au tumeshatangaziwa atafika lini mana yeye maongezi yalishafanywa kitambo kabla ya kukwama dk za mwisho. Sasa cha ajabu wiki yote itaisha mwalimu hajafika
Uko sahihi, ngoja tuone mwisho wake mkuu
 
Mkuu identity yetu ni wings zifanye kazi zaidi sasa hadi sasa wings zimeengeneza nafasi ngapi za wazi? Tuna winga wawili Wa nguvu Farid na Tuisila cha ajabu kila mechi ya ushindani mwalimu anampanga Fernandez winga ilihali hana nguvu,hana speed na hasaidii defense. Na hata kupitia hyo identity yetu bado huwa tunatengeneza nafasi vizuri tu toka kati sasa Leo kila kitu hakiwezekani na mwalimu kakaa na timu kwa mwezi mzima hakuna hata dalili ya mwangaza!?
Sijui ila naweza sema hata wings hamtumii, nyinyi mnapiga mpira mbele mengine yatajulikana huko huko ,

Ukiondoa Ngassa aliekua kwenye ubora wake pamoja na Msuva, hamna winga mwingine ambae mnaweza jivunia kwamba mlikua nae

Wekeni kwanza misingi, la sivyo mtapotea sana, mfano saiv mmetimua kocha anapira bovu, sawa, ila mpira wenu mzuri ni upi?? swali gumu, atakuja kocha mwingine, unampa task gani? yakakwe binafsi au ataikuta Clubun??

Wakati kishingo anakuja alianza leta ujinga tukamwambia mpira wetu uko hv, faster tu kaisimamisha timu na matokeo anapata mazuri tu, sasa nyinyi mtamwambia mpira wenu ni upi? au aige kama upande ule?

hakuna shortcut, jipeni muda undeni kikosi
 
Seriously! Siku 37 unategemea mabadiliko!!! Siamini. Huo ni ugonjwa wa viongozi na washabiki wa vilabu vya Bongo. Hata Simba eti kuna wakati walitaka kuachana na Kocha Sven kwamba hajabadiliasha uchezaji wa timu pamoja na Simba kutwaa ubingwa. Sasa hivi hawataki kusikia Sven anaondoka
Ila siku akifungwa na Yanga ndipo utaelewa!
 
Ila siku akifungwa na Yanga ndipo utaelewa!
Kosa jingine kwa mindset za washabiki wa soka wa Simba na Yanga. Ubora wa timu zetu tunazipima kwa kushinda au kushindwa kwenye mechi za Kariakoo derby!!!! Yaani hapo ndio mpira wetu unapoanzia na unapoishia🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Huyu mbunifu wa hii nguo yupo vizuri bana.
20201005_191945.jpg
 
Back
Top Bottom