Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20201005_190719.jpg
 
Kocha alikuwa mzuri sanaaa.katoa sare moja.kashinda zote.mmepata wapi nguvu ya kumfukuza?.
Huyu mzee hamkumtendea haki .
Karma itawafundishaView attachment 1591865
Haya ni maneno yenu tu nyie majirani.

Hapo hamna cha karma wala bibi yake karma niseme tu atakuja mwingine na maisha yataendelea kama kawaida.
 
Haya ni maneno yenu tu nyie majirani.

Hapo hamna cha karma wala bibi yake karma niseme tu atakuja mwingine na maisha yataendelea kama kawaida.
Hayo matumaini makubwa mliyoyajenga kwa Cedric Kanze ndio yatamponza sasa. Mnahisi kama vile anakuja na miujiza ya kuibadilisha timu yenu na ikiwa tofauti na mnavyo tarajia mtakuja na lugha nyingine ya kumtoa nduki . Mtihani wake wa kwanza ni tarehe 18
 
Sijui ila naweza sema hata wings hamtumii, nyinyi mnapiga mpira mbele mengine yatajulikana huko huko ,

Ukiondoa Ngassa aliekua kwenye ubora wake pamoja na Msuva, hamna winga mwingine ambae mnaweza jivunia kwamba mlikua nae

Wekeni kwanza misingi, la sivyo mtapotea sana, mfano saiv mmetimua kocha anapira bovu, sawa, ila mpira wenu mzuri ni upi?? swali gumu, atakuja kocha mwingine, unampa task gani? yakakwe binafsi au ataikuta Clubun??

Wakati kishingo anakuja alianza leta ujinga tukamwambia mpira wetu uko hv, faster tu kaisimamisha timu na matokeo anapata mazuri tu, sasa nyinyi mtamwambia mpira wenu ni upi? au aige kama upande ule?

hakuna shortcut, jipeni muda undeni kikosi
Una umri gani? Yan kina ngasa na msuva ndio mawing bora uliowaona yanga?
 
Una umri gani? Yan kina ngasa na msuva ndio mawing bora uliowaona yanga?
Jifunzage kusoma uelewe

for the past ten years au 15 year hamjawa na wings bora zaid ya hao , anything nyuma zaid ya hapo, huwez iunganisha na sasa ukasema ni eti ndio identity yenu , hakutokua na connection yeyote hapo katikat

I can definitely say walikuja kwenu kama "Bahati tu" na sio kwamba ndio mfumo wa club, kipindi mko na Lwandamina aliweka mpira chini, Kipind cha Zahera mipira mrefu , mshambuliaji wenu akiwa makambo , kipindi cha Lucy siku za mwanzo aliweka mpira chini baadae akaanza nae piga mbele tu kitakacho tokea huko hicho hicho, huyu mrusi nae kaja na yake, makocha wazawa ndio kabisaa huwezi elezea wanachezesha kitu gani, hamna identity

sasa Nenda kwa simba, tuanzie kwa Patrick Phiri tu ambayo nina uhakika kila ntu anaweza kua na kumbukumbu nzuri, mpaka leo hii, mpira wao ni ule ule, we have our own style, we have our identity , na imefika stage tunakua kama mfano , ikatokea club ikagonga moja moja utasikia "Nao hawa wanatandaza kama Simba"
 
Wamemfukuza Kocha kisa eti timu haichezi kama Simba😀😀😀
 
Tahadhari ni bora kuliko kinga. Timu inacheza vibaya sana na haiwezi kutengeneza nafasi kwa uwazi. Magoli yanapatikana kutokana na kuwa na wachezaji wazuri wanaotumia individual efforts kuliko jitihada za timu na mbinu za mwalimu. Hatukatai kakaa mwezi tu na timu ila angalau tungeanza kuona hata dalili za muangaza kiuchezaji na falsafa ya mwalimu. Unamuwekaje benchi kirahisirahisi Haruna Niyonzima? Yaani Farid Musa ni mbovu kiasi kwamba hata benchi hapaswi kukaa labda acheze mechi za kirafiki tu!? HAPANA! MWALIMU AMESHINDA MICHEZO YOTE KWA KUBAHATISHA NA WALIOMSAIDIA NI WACHEZAJI WALIOAMUA KUPAMBANA KIVYAO NA SI KWA MBINU ZA MWALIMU!!
 
Hayo mafanikio mtayasikiaga bombani na kubakia mkisimulia historia ya miaka ya 90 kanakwamba timu ilishakufa ilihali bado mnashiriki ligi kuu mpaka leo!
Kwa pupa hizi za kuajiri na kufukuza makocha kila uchao kama Baba stadi wa kambo, ambaye kila leo ni wa kuoa na kuacha, kila mtoto kalelewa na mama wa kambo, Hamtafika aslan abadan!
 
Mashabiki wa Simba mlioweza kutunza historia ya wakali wa Msimbazi hasa wale wa mwaka 1993, chini ya mlinda mlango nguli Mohamed Mwameja na sisi tutupie specia thread ya Simba Sports Club! Simba tunasifika kwa records nzuri za kimataifa hadi hapa majuzi tumecheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa sio padogo, tupo level ya juu tuna mengi ya kuisifia Club yetu!
 
Hayo matumaini makubwa mliyoyajenga kwa Cedric Kanze ndio yatamponza sasa. Mnahisi kama vile anakuja na miujiza ya kuibadilisha timu yenu na ikiwa tofauti na mnavyo tarajia mtakuja na lugha nyingine ya kumtoa nduki . Mtihani wake wa kwanza ni tarehe 18
Tatizo bana haezi ikatokea mkatuombea mema hivyo endeleeni tu kuomba mabaya ambayo mwisho wa siku lazima mkose la kuzungumza.
 
Tatizo bana haezi ikatokea mkatuombea mema hivyo endeleeni tu kuomba mabaya ambayo mwisho wa siku lazima mkose la kuzungumza.
Lunyasi hatuna mtimanyongo Shadeeya. Sisi msimamo wetu ni "adui yako muombee shibe na sio njaa". Ni kama hivi sasa tunawapa ushauri wa kocha gani anayewafaa😀😂😀😀🤪
 
Back
Top Bottom