Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna nafasi katika kutushauri Ses.Lunyasi hatuna mtimanyongo Shadeeya. Sisi msimamo wetu ni "adui yako muombee shibe na sio njaa". Ni kama hivi sasa tunawapa ushauri wa kocha gani anayewafaa😀😂😀😀🤪
Hamna nafasi katika kutushauri Ses.
"DaimaMbeleNyumaMwiko
Wazo zuri sana hiliMashabiki wa Simba mlioweza kutunza historia ya wakali wa Msimbazi hasa wale wa mwaka 1993, chini ya mlinda mlango nguli Mohamed Mwameja na sisi tutupie specia thread ya Simba Sports Club! Simba tunasifika kwa records nzuri za kimataifa hadi hapa majuzi tumecheza robo fainali ya Ligi ya Mabingwa sio padogo, tupo level ya juu tuna mengi ya kuisifia Club yetu!
Ndio kilichobakia hicho Ses.Chibongee😀
Nikisikia hiyo kaulimbiu yenu inabidi niwe mpole tu na kutabasamu, na unavyonijulia sasa, nikipata mzuka kuisasambua Chura FC unaiweka hiyo! Naikubali saana ujue🤪Hamna nafasi katika kutushauri Ses.
"DaimaMbeleNyumaMwiko"
Hivi huyu ni mchezaji Wa mazoezi tu hata mechi za kirafiki hakuna!?
Hahahaha nani huyo boxer ? Yanga wachezaji wamazoezi yuko boxer na mahadhiHivi huyu ni mchezaji Wa mazoezi tu hata mechi za kirafiki hakuna!?
Tifuatifua kwakuwabeba mikia!!!
Ndio nini sasa kuahirisha mechi yetu ya October 18?
Ila kipigo kwa mikia kipo pale pale
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Hakika. Na ramli zao hazitasaidia this time.Pamoja na hiyo mbeleko,bado maumivu kwa mikia yapo pale paleView attachment 1592693
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
Mzungu hakutaka kuwapa nafasi hivyo wanaishiaga hapo tu.Hivi huyu ni mchezaji Wa mazoezi tu hata mechi za kirafiki hakuna!?
Tumependa huko kuahirishwa ili kocha mpya mtakae mleta apate muda mzuuri wa kuisuka tumu yenu. Hatutaki kisingizio chochote kwamba "oooh, sisi kocha wetu hakuwa na muda wa kutosha kuiandaa timu"..... tunataka kuwafunga mkiwa na kikosi kilichotimia na mwalimu wa uhakikaTukisemaga Tiefuefu yakwao wanakataa.
Juzi tu ropo ropo wao alisema tarehe zinazoangukia na nane hizo ni lazima wapate kichapo sasa huenda Baba alisikia ndio maana akaamua kufanya waliyoyafanya.