Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahahahahahahah Yanga hii wachezaji wanacheza mpira kama miguu imejaa funza ndio imfunge Simba.
Hivi vikina Mzee chama!? Hadi sasa timu ngumu mliyokutana nayo ni Mtibwa tu nayo mkatoka nayo droo
 
20201009_052817.jpg

Lamine Moro rasmi ndiyo Nahodha wa timu yetu akisaidiwa na Bakari Mwamnyeto pamoja na Mukoko Tonombe.

@Yangasc​
 
Walikisikia wakaona kwa nini aje kulia bure bora tu wazuge na uongo uongo walau kuwatafutia ahueni.

Wakasahau kwamba 11+7= 18 pia. 😂😂😂😂
Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake Shadeeya. Nyie pigeni hizo hesabu zenu za kujumlisha na kugawanya sijui MAGAZIJUTO, lakini kichapo kinawasubiri tu. Tarehe yoyote, uwanja wowote, muda wowote mtapokutana na Wafalme wa Mwituni mnachezea, tukiwakosa sana viwili lazima visome😂🤪🤣
 
Amu weitingi Ses. Usije kimbia tu.
 
Back
Top Bottom