Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20201010_095531.jpg
 
Yaani jana tulipuyanga pale Chamazi huu ndio ukweli kwa upande wangu kwani sikuona soka la mana Mkuu.

Nadhani hata Uongozi uliona vile namna tumecheza japo pia Mwadui nayo si haba Mkuu.
Niliona sura za injinia na bosi zinatia huruma, hata hawaamini kabsa kama hii ndio yanga![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom